Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni
Tuma picha kwanza tukuone
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni
Ngoja waje
 
Duh mbona jazba sana?
 
wanawake wote wangekua na akili Kama zako ningekua nishaoa haraka sana
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni

Njoo pm
 
Back
Top Bottom