Ufahamu zaidi kuhusu course ya Afisa cadet

Naitaj kufaham hii course ya afisa cadet inatolewaga kila Mwaka au ??
Na kama n kila Mwaka inaanza mwez gani na inachukuaga mda gani

Hiyo Course ni kwa ajili ya askari wa JWTZ na inatolewa chuo cha kijeshi pale Monduli(TMA),Kozi zipo za aina mbili ... Kuna kozi ya kawaida ambayo huwa na Session 3 kila moja huchukua miezi 3 na mapumziko ya wiki 2... Kipindi cha kwanza huwa ni kigumu kinachokusanya mazoezi magumu(6 weeks) yakiambatana na mitihani ya kijeshi kumjenga Askari kuwa kiongozi wa kijeshi(Officer) baada ya kufuzu hiki kipindi Officer cadet atapata mapumziko ya wiki 2 kisha kurudi kipindi cha pili ambacho ni cha wastani sio kigumu kama kile cha mwanzo... hapa cadet atafundishwa usafi,nidhamu uwajibikaji na maisha ya kiofficer kisha ataenda mapumziko ya mwisho na kurudi kipindi cha mwisho kinachohusu zaidi michezo na ushupavu!! Na kwa kozi ya pili hii huwa ni special course(mahitaji maalum) ambapo jeshi huwa linahitaji kiwango cha officers kulingana na mahitaji mfano madaktari,engeneers,wahasibu au hata fresh form six na hapa jeshi lenyewe linaandaa kozi ya kadet isiyo na masharti magumu ili tu lifanikishe kuwapata maofisa wote bila kuwapoteza kwasababu linaamini katika kundi hili wengi wamekuja kufuata mshahara na sio wito wa kazi ... !!! Hivyo basi kama unahitaji kuwa Officer au kuhudhuria kozi hii itakupasa kuingia kwanza JKT kisha JWTZ na baada ya hapo usaili ukipita vikosini uwe na sifa ambayo ni Form Six mwenye Div 1,2 au 3,Diploma,Degree na kuendelea... Utapata sifa ya kujiunga vinginevyo hiyo ya pili ni bahati kuipata mpka Jeshi lenyewe liwe na uhitaji!!
 
Ukabila,kujuana,Rushwa,michongo,ndio imejaa jwtz,nilijaribu kuingia 2002,kila sehemu naulizwa kabila kama vile wanataka kutambika!!jwtz Haina tofauti na taasisi zingine za serikali kama idara za maji,dawasa,duwasa,tanroads,posta,ni madudu matupu katika kutoa ajira.
Ukiwakuta wale wanaolinda mageti kwenye Kambi za jeshi,hawana tofauti na askali wa makampuni binafsi,kwa viburi,ujuaji,kelo,majungu,roho mbaya,
 
Acha kukariri maisha mdogo wangu... Sifa kuu ya JWTZ ni kuzoazoa ... Kipindi cha Nyuma vijana walipokuwa JKT zilipita saili nyingi sana Ikiwemo polisi ambao walihitaji watu warefu,uhamiaji waliangalia ufaulu,Tanapa waliangalia miili ya kupambana na majangili,TISS huwa wanaangalia zaidi IQ lakini JWTZ huwa haingalii sifa zaidi uwe na afya njema na mara nyingi Interview yake huwa ni ya mwisho... JWTZ hubeba wafupi,warefu,la saba na kila aina ya watu... hakuna ukabila na hiyo ndo sifa kuu ya Jeshi la wananchi... kila mwananchi ana haki ya kuwa sehem ya Jeshi... KARIBU JWTZ
 
Ukabila,kujuana,Rushwa,michongo,ndio imejaa jwtz,nilijaribu kuingia 2002,kila sehemu naulizwa kabila kama vile wanataka kutambika!!jwtz Haina tofauti na taasisi zingine za serikali kama idara za maji,dawasa,duwasa,tanroads,posta,ni madudu matupu katika kutoa ajira.
Ukiwakuta wale wanaolinda mageti kwenye Kambi za jeshi,hawana tofauti na askali wa makampuni binafsi,kwa viburi,ujuaji,kelo,majungu,roho mbaya,

Punguza makasiriko kijana!
 
Hiyo Course Hutolewa Kwa Askari Wa JW Ambao Wana Sifa Hivyo Ukumbuke Raia Haruhusiwi Kamwe. Wanachukua Wenye Fani Mbalimbali,
Kuanzia Kidato Cha Sita
Mbona fani ya afya wanachukua uraiani acha usidanganye watu ,Kuna madaktari from kitaa koplo mnaa.
Yaani Kama jeshi Lina uhaba wa watu fulani wa fani zao hizo fasta mno wanachukuliwa. Afya Ni diploma ya yyte iwe famasi co laboratory wanakuchukua
 
Hujaelewa mzee!, (kuna kozi ya jwtz na kozi ya afisa kadet) ili ufanye kozi ya afisa kadet lazima uwe jwtz kwanza
 
Hawa jamaa hata posts zao za nafasi za ajira huwa ni changamoto kuziona, in many cases ajira zao hupita juu kwaju tena kwa kujuana au kwa vijana walio makambini jkt tu! Ni afadhali hayo majeshi ya wizara ya mambo ya ndani kidogo angalau posts zinaonekana
 
Hujaelewa mzee!, (kuna kozi ya jwtz na kozi ya afisa kadet) ili ufanye kozi ya afisa kadet lazima uwe jwtz kwanza
Nimekuambia namie hivi naomba Tena unielewe ndugu sipo kushindana na wewe kuwa nionekana Kama najua kuliko wewe kwanza mie Ni kilaza so relax ndugu.

Jeshi likiwa linahitaji watu wa taaluma fulani Kama madaktari nikuambie tu wanachukuliwa mtaani wanaajiriwa labda ,Ila kozi yao Ni direct tma hakuna kupitia jkt ,kihangaiko or oljoro.

Kuna fani huko Ni hot keki mno hakuna kuzungushwa huko.

Kumbuka waendao huko jkt Ni wale kozi sio hot cake labda wengine Kama computer system and securities wanapitia jkt ndio wanachukuliwa directly sema Ila kweli lazima waajiriwe
 
Hiyo Course ni kwa ajili ya askari wa JWTZ na inatolewa chuo cha kijeshi pale Monduli(TMA),Kozi zipo za aina mbili ... Kuna kozi ya kawaida ambayo huwa na Session 3 kila moja huchukua miezi 3 na mapumziko ya wiki 2... Kipindi cha kwanza huwa ni kigumu kinachokusanya mazoezi magumu(6 weeks) yakiambatana na mitihani ya kijeshi kumjenga Askari kuwa kiongozi wa kijeshi(Officer) baada ya kufuzu hiki kipindi Officer cadet atapata mapumziko ya wiki 2 kisha kurudi kipindi cha pili ambacho ni cha wastani sio kigumu kama kile cha mwanzo... hapa cadet atafundishwa usafi,nidhamu uwajibikaji na maisha ya kiofficer kisha ataenda mapumziko ya mwisho na kurudi kipindi cha mwisho kinachohusu zaidi michezo na ushupavu!! Na kwa kozi ya pili hii huwa ni special course(mahitaji maalum) ambapo jeshi huwa linahitaji kiwango cha officers kulingana na mahitaji mfano madaktari,engeneers,wahasibu au hata fresh form six na hapa jeshi lenyewe linaandaa kozi ya kadet isiyo na masharti magumu ili tu lifanikishe kuwapata maofisa wote bila kuwapoteza kwasababu linaamini katika kundi hili wengi wamekuja kufuata mshahara na sio wito wa kazi ... !!! Hivyo basi kama unahitaji kuwa Officer au kuhudhuria kozi hii itakupasa kuingia kwanza JKT kisha JWTZ na baada ya hapo usaili ukipita vikosini uwe na sifa ambayo ni Form Six mwenye Div 1,2 au 3,Diploma,Degree na kuendelea... Utapata sifa ya kujiunga vinginevyo hiyo ya pili ni bahati kuipata mpka Jeshi lenyewe liwe na uhitaji!!
Na je wanachukuaga hao vjna uko makambin kila Mwaka au ?? Naomba kufaham
 
Back
Top Bottom