Namna ya kufunga network kwenye jengo

Jan 27, 2018
79
60
Habari za mda ndgu wana JF,

Mm ni miongoni mwa watu naopenda sana maswala ya computer networking na nshaanza kujifunza installation and configuration l, lakin kitu kinachoniumiza kichwa ni nataka kujua ni kwa mfano lipo jengo MTU au taasisi wanafungua ofisi hapo hvyo wanaitaj network n vitu gani vinahitajika mpk kunakua na uwezo labda wa Ku access internet?

Yani kwa kifupi nashindwa kuliwekaje hili swali lkn naitaji kufahamu process nzima mpk jengo linakua na network
Naombeni msaada kwa yeyote mwny uelewa na haya maswala ya IT
 
Network ni kama electrical tu, isikutishe.

Kama unaona zile socket kwenye ukuta ambazo unachomeka wire kisha unaupachika kweny computer, kunakuwa na wire mwingine (CAT6) ndani ya conduit & juu ya dari unaoenda mpaka kwenye network switch / server room.

Kama jengo lina Wireless (WiFi) kila mahali maana yake kuna access point kadha wa kadha ambazo unaweza usizigundue kwa macho, ila hizi zimeunganishwa kwa wire kwenda kwenye hiyo network switch / server room.

Ili jengo liwe na internet, Hapo kwenye hiyo network switch / server room panakuwa na router ambayo imeunganishwa na Internet Service Provider (ISP) ambaye kazi yake ni uunganisha network ya jengo husika (LAN) na internet (WAN) na analipwa kwa hilo kutegemeana na makubaliano

ISP anaweza kuunganisha internet kwa: Wireless Radio (vidish vidogo unavyoviona nje ya maghorofa au juu ya majengo), Fiber (waya mdogo sana ila unabeba mzigo mkubwa mno - kama mkongo wa taifa), Satellite, 3G/4G/LTE n.k

Network ya jengo ni wire na vifaa tu hamna muujiza.
 
Umeniwahi mkuu
 
Unafanya architecture, wiring. Mfano Ile wiring ya umeme mule mule anaweza apitishe Cable za (CAT6) nyumba nzima. Pale kwenye switch ya umeme na ya internet (CAT6) inatokezea.

Utafauti na umeme hii ya LAN itakuwa na switch yake Kwa ajili ya kupokea network kutoka kwenye antenna ya ISP anayekupatia utandao aweza awe TTCL, TIGO, nk. Sasa Ili upate wireless inabidi uwe na kitu cha ziada yaani router. Ambapo vyote hivi vinafanyiwa configuration. Kwa ajili ya masuala ya usalama security.

Tofauti na umeme huyu inabidi uwe na server. Ni computer itayokuwa inapokea na kisambaza taarifa zako unapojiunga na world wide web (www) DNS itahiaji kuwekewa setting zako

Ni taaluma nzur Sana naipenda
 
Mfano sehemu n porini hakuna mnara wa simu yawezekana kujitengenezea mfumo wa kuaccess internet?
Ni lazima ukiunganisha kitu chochote uwe na source. Haitakuwa rahisi ikiwa Huna service source yoyote. Kama hakuna mnara inamaana hata simu haitapata network. Unatakuwa hupatikani. So huwezi ukatapa internet.

Lazima uwe na Internet service provider (ISP)

Kama utasisitiza swali lako..nutasema kama upo real porini huko wanatumia setelate ni level ya juu sana
 
Kuna
Network ni kama electrical tu, isikutishe.

Kama unaona zile socket kwenye ukuta ambazo unachomeka wire kisha unaupachika kweny computer, kunakuwa na wire mwingine (CAT6) ndani ya conduit & juu ya dari unaoenda mpaka kwenye network switch / server room.

Kama jengo lina Wireless (WiFi) kila mahali maana yake kuna access point kadha wa kadha ambazo unaweza usizigundue kwa macho, ila hizi zimeunganishwa kwa wire kwenda kwenye hiyo network switch / server room.

Ili jengo liwe na internet, Hapo kwenye hiyo network switch / server room panakuwa na router ambayo imeunganishwa na Internet Service Provider (ISP) ambaye kazi yake ni uunganisha network ya jengo husika (LAN) na internet (WAN) na analipwa kwa hilo kutegemeana na makubaliano

ISP anaweza kuunganisha internet kwa: Wireless Radio (vidish vidogo unavyoviona nje ya maghorofa au juu ya majengo), Fiber (waya mdogo sana ila unabeba mzigo mkubwa mno - kama mkongo wa taifa), Satellite, 3G/4G/LTE n.k

Network ya jengo ni wire na vifaa tu hamna muujiza.
Kuna computer💻 lab hapa zinatumia mfumo wa Ncomputing, yaani computer ni moja tu lakini watumiaji wengi (screen) je inawezekana kutumia bila interne?t
 
Attachments

  • IMG_20220716_205531.jpg
    IMG_20220716_205531.jpg
    87.2 KB · Views: 18
IT sio kama umeme kina mengi sana ya juzingatia so wanaokwambia ni sawa na umeme wanakudanganya
Yaani somo na installation sio lelemama...tena sio rahis kama wale wanaofunga cctv.
Japo vitu vichache vinahusiana
 
Attachments

  • IPNetworkingOverSatelite_CourseSampler1.pdf
    1.2 MB · Views: 3
Back
Top Bottom