Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,578 Oct 13, 2022 #2 Nenda Angaza, usituchoshe.
A A_Girl_Child Member Joined Jul 25, 2022 Posts 39 Reaction score 77 Oct 13, 2022 #3 Kwa nini mnapenda kubagua? Wakati kuna watu wanauelewa mzuri tu wa U=U. Anyway Mungu akujalie hitaji la moyo wako
Kwa nini mnapenda kubagua? Wakati kuna watu wanauelewa mzuri tu wa U=U. Anyway Mungu akujalie hitaji la moyo wako
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,368 Reaction score 8,641 Oct 13, 2022 #4 Mungu akupe haja ya moyo wako.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,613 Reaction score 97,170 Oct 13, 2022 #5 Superb2014 said: Mungu akupe haja ya moyo wako. Click to expand... Mkuu, kwema 🤣🤣
NGERESHAA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 1,298 Reaction score 1,807 Nov 17, 2022 #6 Kuna uzi kama wako hapo juu mwanamke anatafuta mume mwenye Vvu .