Search results

  1. A

    swali: Hivi wanaume huwa mnatofautisha katu ya sex na upendo??

    naomba kujua mbona wanaume mko na high sex drive na ikitokea fursa ya kumla mwanamke unapita nae hata kama humpendi.je nyie kwenu sex na upendo ni vitu viwili tofauti ?? na inakuaje hapo
  2. A

    Kweli humaanisha?

    Nauliza mwenzenu pale mwanaume anapoomba msamaha mpaka machozi yanatoka huwa mnamaanisha au maigizo tu. Nimewahi kushuhudia mara nyingi katika situation tofauti,my hubby once sasa jana shemeji yangu(hubby of my friend) alikuwa akimwomba msamaha mke wake mpaka analia kama amefiwa khaa! Naombeni...
  3. A

    Jamani zuku vp tena???

    Decoda yangu ya zuku imegoma leo tangu asbh na ni wk 3 tu tangu niinunue sasa jamani je ni hela imekwisha au nini sasa.je pia nitapataje msaada maana startimes kikibuma unazungusha anterna huku je unafanya nn??
  4. A

    Please help

    Jamani nina mimba 40 weeks sasa lakini cna dalili ya kujifungua na nimechoka hata kutembea sasa tabu, nauliza hakuna natural methods za kustart labour pains? Naogopa za hospital nisaidien nimechoka mpaka basi, kweli mtoto mgumu jamani.
  5. A

    kuna ukweli jamani??

    Wana mmu nauliza mwenzenu kuna ukweli wowote iwapo mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja eti lazima atakuwa na kiburudisho cha pembeni.wangu namuona mpole nashindwa kumsoma kama na yy anachakachua ndoa yetu
  6. A

    Wananchi tupambane na serikali sio madaktari

    Naona serikali ndio chanzo cha yote yanayoendelea hapa bongo,kama wangeboresha huduma za afya hakuna daktari ambaye angegoma na kusababisha wagonjwa kufa.kwa hiyo mm naona muuaji ni serikali na si daktari.ambaye amesoma kwa tabu.cha msngi wananchi tuilaumu serikali mliyoiweka madarakani...
  7. A

    motivation ktk kazi!!

    motivation kazini based on 3 basic needs. 1.achievement-oriented people:focus on transform ideas into action,wisely and risk taker. 2.affiliation-orientated people:focus their energy on families and friend,their overt productivity is low. 3.power-oriented people:they want command attention,get...
  8. A

    nisaidieni jamani!!

    tangu nimeamka leo cjickii kabisa kuongea na mume wangu.hata kumuona sina hamu.hajanikosea chochote.hii ni nn jamani???
  9. A

    Help please??

    Mambo zenu wana jf.naombeni mnisaidie mwenenu nakuwa cku zingine cjickii kabisa kuwa karibu na mwenza wangu but akiondoka nammiss hii imekaaje?
  10. A

    Wapi nitapata kadi ya chadema

    Jamani wapi nitapata kadi ya chadema nime choka kulalamika nataka nichukue hatua
  11. A

    Original comedy

    Hawa jamaa naona wamerudi wanadai walikuwa likizo.tunawatakia kazi njema wajitume zaidi source: TBC1
Back
Top Bottom