Wapi nitapata kadi ya chadema

Wapi nitapata kadi ya chadema

Aquous

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
292
Reaction score
86
Jamani wapi nitapata kadi ya chadema nime choka kulalamika nataka nichukue hatua
 
siburi siku ya maandamano huwa wanagawa bure mkuu
 
Nimeamua kujiunga na chadema rasmi,baada ya kuona udhalimu unaoendeshwa na serikali ya ccm.kwa kipindi cha miezi 12 serikali ya ccm imefanya mauji na utesaji kwa raia wasio na hatia.Naombeni msaada wa jinsi ya kupata kadi ya CDM,kwa sasa nipo kijjjini,na nitaanza mimi mwenyewe kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kuhamasisha wanachama zaidi kujiunga.
NB kumbe chadema ina umaarufu mkubwa tu na uku vijijini,awali tuliaminishwa kwamba CDM ni chama cha mjini si kweli kasi ya CDM kuenea vijijini ni kubwa sana
 
Uko wapi? Unasema kijijin, vijj vng tz
nimeamua kujiunga na chadema rasmi,baada ya kuona udhalimu unaoendeshwa na serikali ya ccm.kwa kipindi cha miezi 12 serikali ya ccm imefanya mauji na utesaji kwa raia wasio na hatia.naombeni msaada wa jinsi ya kupata kadi ya cdm,kwa sasa nipo kijjjini,na nitaanza mimi mwenyewe kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kuhamasisha wanachama zaidi kujiunga.
Nb kumbe chadema ina umaarufu mkubwa tu na uku vijijini,awali tuliaminishwa kwamba cdm ni chama cha mjini si kweli kasi ya cdm kuenea vijijini ni kubwa sana
 
Makamanda naombeni asaidiwe, karibu sana kamanda, tupambane kuyang'oa haya maCCM.
 
Yaani na wewe!! Ofisi zote za CDM unauliza utapata wapi kadi ya CDM!!! Nenda kwenye ofisi za Chadema utapata kadi lukuki!!!
Jamani wapi nitapata kadi ya chadema nime choka kulalamika nataka nichukue hatua
 
Nenda mtaa wa lumumba utaona kajengo yellow na green ulizia hapo
 
kamanda mwingine ndani ya nyumba ungana nasi kamanda tuwe pamoja
 
Back
Top Bottom