maramia uendelee kutomsoma maana unataka kujitafutia Bp,ukichunguza sana utakufa kabla ya siku zako madam anatekeleza wajibu wake tulia hivyohivyo kama unanyolewa.
Asnam ina maana akumbuke ule msemo usemao "Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla"....si ndio maana yako au?
sasa tatizo cku nikijua anachakachua naweza kuua mtu.lakini kama nikijua mapema wote wako hivyo aaa nitajipa moyosasa yeye kinachomuwasha ni nini eti kasikia wanasema haya kafanya uchunguzi yamemshinda,sasa anahangaikia nini?atulie afahidi ndoa yake basi
sasa tatizo cku nikijua anachakachua naweza kuua mtu.lakini kama nikijua mapema wote wako hivyo aaa nitajipa moyo
sasa tatizo cku nikijua
anachakachua naweza kuua mtu.lakini kama nikijua mapema wote wako hivyo
aaa nitajipa moyo
Hachakachui ndoa, huyo anamchakachua hausiboi wa jirani yako. Ngoja nikuletee pichaWana mmu nauliza mwenzenu kuna ukweli wowote iwapo mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja eti lazima atakuwa na kiburudisho cha pembeni.wangu namuona mpole nashindwa kumsoma kama na yy anachakachua ndoa yetu