Original comedy

Aquous

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
292
86
Hawa jamaa naona wamerudi wanadai walikuwa likizo.tunawatakia kazi njema wajitume zaidi
source: TBC1
 
Hawa jamaa naona wamerudi wanadai walikuwa likizo.tunawatakia kazi njema wajitume zaidi
source: TBC1

I doubt. Something is wrong somewhere. Mbona wanatuletea viporo tu. Juzi wameleta kiporo bila kukipasha. Bahati mbaya sina channel nyingine inayoonesha vzr zaidi ya TBC1. I have no choice.
 
Back
Top Bottom