Tengeneza master card kwenye Vodacom Mpesa menu kipengele cha huduma za kifedha. Kisha ukimaliza weka pesa kwenye akaunti ya Mpesa. Baada ya hapo unaweza kuhamisha kiasi kinachohitajika kwenda kwenye kadi. Kisha lipia huduma unatihitaji.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna components zimelegea labda nati, screws, miguu ya cabinet nk. Kwa hiyo unapoigusa unasababisha vitu fulani kugusana ambapo havikutakiwa na hivyo kusababisha sauti ya mikwaruzo kwenye subwoofer.
Kwa hiyo subwoofer inapaswa kukaguliwa na kukaza sehemu zilizolegea...
Sababu kubwa inaweza kuwa ni waya ambapo kama imekatika sauti ikiwa ndogo zinafanya kazi kwa kuwa vibration frequency ipo chini kwa hiyo connection inakuwepo bado lakini iukiongeza volume vibrations zinaongezeka na kufanya waya ziache connection.
SABABU ZA SUBWOOFERS KUTOA SAUTI YA KUKWARUZA
Kuna sababu kadhaa zinazofanya subwoofer kutoa sauti ya kukwaruza.
1.Kulegea waya na vifaa vingine kama nati bolts nk. Inaweza kuwa sababu ya kukwaruza. Unahitaji wewe au fundi kukagua na kukaza sehemu zilizolegea.
2 Subwoofer kupokea power kidogo...
Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa.
Sijui kama ina uwezo kama ChatGPT labda muda utasema.
Download update toka playstore halafu ukifungua...
Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa sinema bali sasa surround sound technology kujumlisha na video za 3D imewezesha mtu ‘kupelekwa kwenye...
Tatizo lako ni kutatua hali ya kutoelewana kwa kutumia ngumi. Mnapaswa kukaa na kuzungumza sio kupigana. Na mazungumzo yafanyike muda muafaka sio wakati wote mna hasira. Kaa kimya hadi muda muafaka mzungumze.
Jambo la pili huwezi kuomba na kupewa penzi wakati ni jana tu mmepigana hata vidonda...
Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi.
Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu.
Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
Utapata effects kupitia virtual surround. Hii ina maana kuna sauti utazisikia kutokea upande ambao hakuna spika. Soundbars zimetengenezwa zikiwa na uwezo wa kurusha sauti ukutani au darini (forward/upward firing)halafu inakufikia wewe ikitokea ukutani/darini . Kwa hiyo effects utazipata...
Unaweza kufanya maamuzi kwa kuzingatia haya yafuatayo :
Hiyo Sony ni ya kizamani ingawa ina real surround featues kwa kuwa ina 5.1 speaker configuration. Hiyo Hisense sound bar ingawa ni 2.1 channel ikimaanisha inategemea virtual surround na hivyo kuwa nyuma ya Sony upande wa movie lakini ina...
Mtoto wao anamwaga sukari bila ya kukusudia Baba anamchapa kibao kisha ngonjera zinafutata. " Mgejua ninavyoteseka kutafuta hela, ninalala porini kwa ajili ya kuwahangikia nyinyi halafu mtu unaharibu vitu kirahisi tu? Mkianza kutafuta vya kwenu ndio mtajua shida tunazopata"
Ukifikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.