Search results

  1. D

    Jiji la Mwanza kuna kitu hakiko sawa

    Habari Wana jamvi? Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo kwa majiji mengine. Barabara ndani ya jiji la Mwanza ni ndogo, na za zamani. Ukiangalia barabara ya...
  2. D

    Namna gani ya kumkwepa mwanamke anayejitongozesha?

    Kuna ile mwanamke unamwona au mnafahamiana. Muda si muda mnapeana namba na mawasiliano kuanza. Katika kuwasiliana, mwanamke anajiletaleta au kujitongozesha. Lkn inatokea mwanaume havutiwi na yule mwanamke. Hii ni kwa sababu wanawake wengine au huyo mwanamke sura haisomi kabisa au shape...
  3. D

    TANESCO ibinafsishwe ili kuongeza tija

    Tatizo la Umeme nchini ni kubwa sana. Tatizo hilo ni la muda mrefu, miaka mingi sana. Mikakati na mikakati imekuwa ikipangwa lakini hakuna kinachoendelea. Kuna miaka ya nyuma ilisemwa kuwa ile gas ya Mtwara ingemaliza kabisa tatizo la Umeme nchini, lkn hakuna kilichotokea. Taifa au serikali...
  4. D

    Elimu kubwa TAMISEMI ni kunitafutia stress

    Kama unafanya kazi chini ya ofisi ya Rais TAMISEMI ngazi za chini hususani Ualimu harafu ukapata Elimu kubwa ya juu hususani ngazi ya Masters au doctorate degree, unanielewa vizuri. Ngazi ya Halmashauri idara ya Elimu hawazingatii mwalimu mwenye degrees mbili au tatu. Sababu ya maana haieleweki...
  5. D

    Bora Kama Serikali kupitia TAMISEMI ingetoa tamko kuwa likizo za mwezi Machi na Septemba kuwa hazipo

    Ni utaratibu wa kitaalamu, kitaaluma na ujifunzaji kisaikolojia wanafunzi na walimu kupata muda wa kupumzisha akili. Lengo la mapumziko hayo ni kuipa akili muda wa kupata nguvu za kusoma na kuelewa masomo yaliyo mbele. Kitu cha ajabu na kinachoendelea miaka ya hivi karibuni ni likizo hizo za...
  6. D

    Manispaa ya Kahama itakuwa kama Jiji la Mwanza miaka 10-15 ijayo

    Ni ukweli usiopingika miji miwili hii ya Kanda ya Ziwa inakuwa kwa kasi sana Jiji la Mwanza na Manispaa ya Kahama. Lakini kasi ya ukuaji na maendeleo ya Manispaa ya Kahama inaleta projection ya kuwa Kama Jiji la Mwanza baada ya miaka 10 ikichelewa miaka 15.. Mwaka 2002 nilifanikiwa kufika...
  7. D

    Hivi kuna umhimu tena wa kutafuta Elimu na kusoma?

    Najiuliza, miaka kadhaa sasa vijana wanaomaliza Elimu zao ngazi za vyuo vikuu na vyuo vya Kati wakiwa hawana ajira wala cha kufanya baada ya masomo au Elimu zao. Kuna maelfu na maelfu ya vijana wenye degrees zao wako majumbani. Hawana kazi, baadhi wakaamua kufanya ujasiriamali ili kuendesha...
  8. D

    Fursa ya biashara ya hospitali kubwa iko kanda ya ziwa

    Kanda ya ziwa inatengenezwa jiji la Mwanza, mkoa wa Shinyanga, Geita, Simiyu, Kagera na Mara. Jumla ya mikoa 6. Mikoa hii ni mikoa na kanda yenye idadi kubwa ya watu. Ni kanda inayoongoza kwa watu wengi kuliko kanda nyingine yoyote. Pamoja na idadi kubwa ya watu kanda ya ziwa, watu /wagonjwa...
  9. D

    Kukosa hamu, utamu na burudani wakati wa kufanya mapenzi

    Salamu sana kwa wote.. Juzi hapa jamaa mmoja na rafiki ananifuata akilalamika kuwa ana almost miezi miwili na nusu hivi hapati hamu, nyege, utamu wala burudani wakati anafanya mapenzi na mke wake au mwanamke yeyote. Anadai kuwa akiwa na mke wake/mwanamke yeyote hutokea uume ukasimama na kuweza...
  10. D

    Mwisho wa kizazi na nguvu ya Mungu

    Katika hali ya tafakuri ya kawaida, Mungu ndiye Muumba wa vitu vyote akiwemo kiumbe binadamu! Kizazi cha binadamu hufanya watu kuongezeka kila kukicha. Ongezeko la watu na kizazi kuendelea kuwepo duniani ni kwa sababu ya tendo la ndoa/ngono. Yaani kiumbe hai binadamu na yote yanayomkuta ni...
  11. D

    REA na ucheleweshaji usambazaji wa umeme

    Miezi kadhaa sasa kumekuwa na tatizo la kuchelewesha kusambaza Umeme. Kwa maana unakuta wanaweka nguzo, lkn kuja kuweka nyaya za umeme inaweza kuchukua miezi hata minne. Haitatosha kuja kufunga na kuwasha generator yaweza kuchukua miezi mitatu na zaidi. Pia kuja kuja kukagua, kutoa control...
  12. D

    Dini na Elimu

    Kuamka na kwenda shule kusoma, kutunza kumbukumbu akilini, kufanya mitihani, kufaulu na kupewa cheti ni ugonjwa unaofanana na kwenda kanisani kusali, kuomba na kuabudu kwa imani ya kwenda mbinguni. Haya ni mambo tata tunayoona mazuri tuliyoachiwa na wakoloni.
  13. D

    Mishahara na posho za wabunge zina maswali mengi

    Katika hali ya kawaida na katika nchi zetu za Kiafrika, hivi kuna sababu gani za kimantiki za wabunge kulipwa mishahara, posho, pension na stahiki nyingine kubwa kuliko maeneo mengine? Imekuwa ikisemekana na kusikika kuwa wabunge wanalipwa almost 11m kwa mwezi ikiwa ni mishahara na posho kadha...
  14. D

    Mume akikuta meseji za mapenzi kwenye simu yako...

    Mwanamke kaolewa miaka zaidi ya kumi. Katika hali ya kuishi, kawa na mchepuko katika kuwasiliana na mtu wake wa nje/mchepuko, meseji za mapenzi zinafumwa na mume wake. Wanawake huwa wanalimalizaje na wanaume huwa wana chukua hatua gani? Kwanini wana ndoa hutoka nje ya ndoa zao?
  15. D

    Tunahitaji Chuo cha SAUT Mwanza kiwe Chuo Kikuu binafsi kikubwa kuliko Vyuo Vikuu vya Umma

    Salamu sana! Napenda kutoa ushauri kwa Chuo Kikuu binafsi St. Augustine University of Tanzania (SAUT) kutumia nafasi au wakati uliopo kujijenga na kukua kwa kiwango cha juu. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kinatoa huduma zaidi ya Vyuo Vikuu vya Umma kama UDSM, UDOM, Mzumbe nk. Makusudi...
  16. D

    Watu wavamia Kaskazini mwa Rwanda

    Watu wenye silaha wametekeleza mauaji ya watu 11 usiku wa kuamkia leo kaskazini mwa Rwanda. Tukio la mauaji hayo lilitokea mida ya saa tatu usiku katika tarafa za Kinigi na Musanze wilayani Musanze jimbo la Kaskazini mwa Rwanda. Jimbo hilo ni miongoni mwa majimbo nchini humo yanayoongoza kwa...
  17. D

    Wilaya ya Kahama ilistahili maendeleo makubwa kuliko wilaya nyingi nchini

    Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga inafaa kuwa na maendeleo ya miundombinu na huduma za kijamii zilizo bora kuliko ilivyo sasa ! Pamoja na hilo,wilaya/ mji ule wa Kahama una sifa ya kuwa hata manispaa inayojitegemea. Wilaya ile imezungukwa na migodi mikubwa miwili: Buzwagi na Bulyankulu. Migodi...
  18. D

    Kwa nini tunaishi hivi !? Dunia na walimwengu waliona mini !?

    Salam Sana! Nimekuwa nikijiuliza bila majibu sahihi kwa yanayotokea duniani na jinsi binadamu tunavyoishi!! Kila binadamu anakua na kulazimika kutafuta pesa,bila pesa mtu haishi vizuri-swali ni kwamba hakuna maisha ambayo yangewekwa binadamu kuishi bila uwepo wa pesa na matumizi ya pesa!? Pesa...
Back
Top Bottom