Search results

  1. Machomekundu

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Halo duni imetokana na kutopea kwenye lindi la umaskini
  2. Machomekundu

    Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    Wanaona raha wanavyoanika mambo ya majeshi mitandaoni, lakini wajue tu kiama chao kiko mbioni maana mambo ya majeshi hayaanikwi kila sehemu.
  3. Machomekundu

    Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    Sio kila kitu kinachohusu jeshi mnataka kuvijua. Mengine yawapite.
  4. Machomekundu

    Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

    Wachomwe sindano za kuzuia mimba!
  5. Machomekundu

    Kwa wauzaji wa chupi za kike

    Chupi muundo huo huwa nahisi kama hazinikai vizuri! Dada huna G-string?
  6. Machomekundu

    Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania(CPCT) lakemea watumishi wa Mungu wanaotapeli waumini kwa kuwauzia vifaa vya upako

    Waumini wanadanganywa wanauziwa maji ya kutoka mto Yordan! Maji ya 100 wanauziwa 10,000!? Dah kweli wajinga ndio waliwao [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Machomekundu

    Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

    East Africa ikiwa ikiwa chini ya Germans Waarabu walitumika kama makuli wa kuwachukua watumwa kutoka maeneo ya bara na kuwafikisha mkunazini kwa British ambao ndio walikuwa wamedominate soko la biashara hiyo.
  8. Machomekundu

    Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

    Historia ya kweli ya Zanzibar walibaki nayo wakaazi wa Zanzibar mababu na mabibi zetu, hii iliyoandikwa kwenye vitabu nyingi ni uzushi mtupu, mfano mdogo na mzuri kuna pango liko Pemba lina historia nyingi sana ambayo imeandikwa kwenye magome ya miti na ngozi za wanyama, lakini huwezi kukuta...
  9. Machomekundu

    Maonesho ya kazi za kishirikina

    Loh! Kuna watu wachawi! [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2817][emoji2817][emoji2817]
  10. Machomekundu

    Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

    Jamani namiye nawakaribisha PM ila mambo ya kuombana namba, matusi na mambo yasiyo na maana sitaki.[emoji87][emoji87][emoji87]
  11. Machomekundu

    Hodii !!!!!

    Karibu sana
  12. Machomekundu

    Hodi hodi

    Karibu ukaribie sana tu
  13. Machomekundu

    Kijana unaefikiria kuoa ukiwa na miaka 18-26

    Kuna bikira nyengi za kununua naomba hilo mulielewe
  14. Machomekundu

    Watanzania Waasia kwenye vyombo vya Usalama

    Wapo hata mm shemegi yangu mwarabu ni mjeda
Back
Top Bottom