Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Naona hadi unajikataa, ulivyopoyoyo!
Kichwa kimejaa upupu, naona wazazi wako walipoteza ada kukupeleka TEKU, maana najua huna ujasiri wa kujitambulisha popote kuwa wewe ni zao la TEKU, aibu kubwa sana kwako! Ndio maana unabwabwaja tu hapa!
Kwa taarifa yako nimeshakuambia nakujua nje ndani, au wataka nikuanike wazi hapa...!?
Ila soon nishakuambia unachokitafuta utakipata, sitanii for sure!
Anza kwanza kuyaanika hayo makalio yako yenye ukurutu yakiwa utupu kabla ya kunianika mimi hapa.Naona unalazimisha kunifahamu ,huko unapopaita teku ndio unayapelekaga makalio yako yakashikweshikwe au?.Halafu acha mikwara yako ya kibwege haina effect yoyote kwangukwangul
 
Pole

Kazi zenye viapo mtu akikwambia majukumu yake ni sawa na kutoa siri.
Hivyo basi njia rais ni kwenda sehemu husika wanakupa majibu.
Jamii forum wameshinda kesi yao inayohusu uhuru wa kupeana habari ila tutambue hakuna uhuru usio na mipaka...hata nyumbani kwako kuna vinavyokaa sebuleni na vinavyo kaa chumbani...na mwilini mwako kuna nguo inayovaliwa nje na nyingine ndani...ukienda tofauti jamii itakuona tofauti na tunaishi km jamii na hili ni jukwaa la jamii
 
Tatizo wa Tanzania mmejawa na uoga kuhusu majeshi maana ungeweza kujibu baadhi ya kazi zao mengine ya siri ukaficha
Kazi ya Jeshi ni ulinzi wa mipaka
Tatizo Afrika majeshi niya kupambana na raia wake ili kulinda maslahi ya watawala
 
Mm nitakuelekeza yote kwa niaba ya watu wengine wajue humu ndani hakuna mtu anae nijua mm humu mana mm nipo kwenye iyo kazi nitakuelekeza yote ujue mdogo wangu nipo kwenye iki chombo tokea mwaka 2001 na nimeingia nikiwa na umri wa miaka 16 tuu nimeona mengi na nimeshuhudia mengi mno nitakueleleza ujue majukumu yao tuu vitu vingine sito visema ila nitasema kuhusu majukumu yao tu.

Naanza na vyeo vya maaskari.

Private (aka shati tupu)
Huyu hana ni askari ambae ametoka mafunzoni mda si mrefu ili awe askari kamili anafanya coz inaitwa level 3 hi coz akifanya ndo upewa na kuruhusiwa kufanya fatiki za kijeshi na hii level 3 ni coz ya miezi mi 3 tu akimaliza hii coz sasa ndo upewa majukumu kama yafuatayo itategemea na kikosi ambacho yupo na command ambayo yupo command namanisha matawi haya ya jwtz na izi branch zipo 5 ya kwanza Makao makuu,ya pili Nyika ya tatu Wanamaji Navy,ya Nne Anga ya tano Jeshi la kujenga taifa private majukumu yake makubwa ni
Kulinda,kufyeka,kufanya usafi wa kikosi kwenda mission mbali mbali ambazo ni ndogo ndogo,kama ana professional mfano ya kuendesha gari bac ataendesha gari za jeshi ila lazima aende coz ya kujifunza kuendesha gari za jeshi ila private kazi yake kubwa ni kulinda guard bac iyo ndo kazi yake kubwa...

Lance Copro.(V moja)
Huyu majukumu yake ni kulinda na kuwangalia maprivate cheo iki mara nyingi uwa ni cha upendeleo tuu.

Copro(V mbili)
Huyu ndo kila kitu jeshi majukumu yake ni kutoa mafunzo kwa maafisa kutoa mafunzo kwa askari makuruti kulinda pia huyu anakuwa ana section nyingi sana za kupiganisha vitani huyu ni kama kiungo jeshini...

Sargent( V tatu)
Huyu kazi yake kubwa ni kufundisha,kulinda,kufanya shughuri ndogo ndogo pia kutoa amri kwa askari walio chini yake ni afande mzuri sana huyu

Staff sargent(bibi na bwana na V 3)
Huyu ni sir major huyu ndo mkubwa wa maskari wadogo wadogo wote kazi yake kubwa kuwafanya askari kuwa pamoja kupanga detail za kazi kikosini kuandaa order mbali mbali..

Mteule daraja la kwanza (lisaa korokoro analivaa mkononi)
Huyu kazi yake kubwa ni kuwafanya askari wawe na utulivu kikosini.

Mteure Daraja la pili (lisaa analivaa mkononi lililo na rangi nyekundu limekoza lina bibi na bwana)
Huyu kazi yake kuwa fanya skari wawe na nidhamu na kutoa adhabu mbali mbali kwa maskari watukutu.. iyondo kazi yake kubwa..nitaendelea....
 
Wanaona raha wanavyoanika mambo ya majeshi mitandaoni, lakini wajue tu kiama chao kiko mbioni maana mambo ya majeshi hayaanikwi kila sehemu.
Anataka kujifunza na kujua acha kumtishia akihitaji kujifunza tunamsaidia ajue na sio kila kitu anaambiwa anambiwa kusu mambo tu ya kawaida acha kumtishia kijana....kujua majukumu ya wanajeshi wa nchi yake wanao mlinda sio jambo baya ni jambo jema acha kumtishia kijana ni mzalendo....
 
Pole

Kazi zenye viapo mtu akikwambia majukumu yake ni sawa na kutoa siri.
Hivyo basi njia rais ni kwenda sehemu husika wanakupa majibu.
Jamii forum wameshinda kesi yao inayohusu uhuru wa kupeana habari ila tutambue hakuna uhuru usio na mipaka...hata nyumbani kwako kuna vinavyokaa sebuleni na vinavyo kaa chumbani...na mwilini mwako kuna nguo inayovaliwa nje na nyingine ndani...ukienda tofauti jamii itakuona tofauti na tunaishi km jamii na hili ni jukwaa la jamii
Ujui chochote ww kaa kimya siri unazijua wewe...
 
Wabongo washamba sana! Yaani ikitamkwa jeshi kama imetamkwa mbingu....

Acheni ushamba na akili za kijima kwani akijua kazi maalumu za kila askari wa kila cheo ndiyo nini kitatokea?

Warusi kwa hilo alilouliza wapo wazi, China yupo wazi, Kim Jong wa NK anaonyesha na mizinga na makombora wazi.

Wewe mbongo una nini? Yaani ushamba ushamba na ujinga mwingi.
 
Pole

Kazi zenye viapo mtu akikwambia majukumu yake ni sawa na kutoa siri.
Hivyo basi njia rais ni kwenda sehemu husika wanakupa majibu.
Jamii forum wameshinda kesi yao inayohusu uhuru wa kupeana habari ila tutambue hakuna uhuru usio na mipaka...hata nyumbani kwako kuna vinavyokaa sebuleni na vinavyo kaa chumbani...na mwilini mwako kuna nguo inayovaliwa nje na nyingine ndani...ukienda tofauti jamii itakuona tofauti na tunaishi km jamii na hili ni jukwaa la jamii
We ni mshamba tu kama wengine!
 
Wabongo washamba sana! Yaani ikitamkwa jeshi kama imetamkwa mbingu....

Acheni ushamba na akili za kijima kwani akijua kazi maalumu za kila askari wa kila cheo ndiyo nini kitatokea?

Warusi kwa hilo alilouliza wapo wazi, China yupo wazi, Kim Jong wa NK anaonyesha na mizinga na makombora wazi.

Wewe mbongo una nini? Yaani ushamba ushamba na ujinga mwingi.
Wengi wao humu ni raia hawajui chochote eti siri mnazijua siri nyny au mnaongea tuu...
 
Achana na wanaokubeza, ingia Google andika jwtz, link ya Kwanza ndio tovuti ya jeshi lako, jeshi liko imara, jeshi halishindwi, kila kitu unachotakiwa kujua raia,kipo hapo. Nenda kalijue jeshi lako na ujivunie kulindwa na jeshi kamili.
Kama unachazaidi, mawasiliano yapo, andika barua Pepe, piga simu utajibiwa.
HAHAHAHA DUH.
 
Back
Top Bottom