Only 1 Lady
Member
- Mar 2, 2018
- 21
- 5
Mimi mgeni wenyeji hamjambo!! ?
Nilikuwa msomaji nimeingia rasmi.Sijawahi kuona mtoto amezaliwa na muda huo huo anaanza kutembea
Karibu sanaMimi mgeni wenyeji hamjambo!! ?
Kirikou alizaliwa akatembea na kuongeaSijawahi kuona mtoto amezaliwa na muda huo huo anaanza kutembea
karibu tukuhudumie..nakuja pm tujuane zaidiMimi mgeni wenyeji hamjambo!! ?
Hatujambo karibu sana JF.Mimi mgeni wenyeji hamjambo!! ?
Upo wewe? Huonekani au ushatekwa na Behaviourist mzee wa chura?Karibu sana
Kirikou alizaliwa akatembea na kuongea