Search results

  1. athumanishapu

    Natafuta shule nzuri ndani ya Dar

    Kuna MTU nataka nimsomeshe ila uwezo wangu wa kumlipia ada usizidi 1,500,000 kwa yeyote anaejua shule yenye gharama ninayoiweza kuimudu anisaidie nitafurahi zaidi ikiwa ndani ya Dar
  2. athumanishapu

    Kuna uwiano wowote kati ya rangi ya bati na rangi ya ukuta?

    Mfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati?
  3. athumanishapu

    Kipi kati ya hivi kina nafasi kubwa kukutoa kimaisha?

    Habarini wana JF, Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha? (1) KUAJIRIWA (2) KILIMO (3) BIASHARA
  4. athumanishapu

    Naomba kuuliza je, rangi zipi zinafaa kupakwa nje na zipi zinafaa kupakwa ndani?

    Naomba kuuliza je rangi zipi zinafaa kupakwa nje na zipi zinafaa kupakwa ndani? Na kampuni ipi ya rangi iko bora zaidi
  5. athumanishapu

    Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani? Nahitaji ramani pia
  6. athumanishapu

    Msaada wa mwenye kujua chuo kinachotoa course ya Architecture kuanzia ngazi ya certificate

    Naombeni msada wenu wakuu mwenye kujua chuo chenye kutoa coz iyo kuanzia certificate anijuze please.
Back
Top Bottom