Natafuta shule nzuri ndani ya Dar

athumanishapu

Member
Oct 25, 2017
71
51
Kuna MTU nataka nimsomeshe ila uwezo wangu wa kumlipia ada usizidi 1,500,000 kwa yeyote anaejua shule yenye gharama ninayoiweza kuimudu anisaidie nitafurahi zaidi ikiwa ndani ya Dar
 
Mtu ndo nani , be specific in mdogo wako, in jirani yako, in mke wako au mchumba
 
Back
Top Bottom