Search results

  1. Kitaja

    Mwamposa aliiga huku kwa baba lao TB Joshua

    Jumla ya watu wanne wamefariki Jumapili nchini Ghana, walipokuwa wakikanyagana kwenye huduma ya “Mafuta ya Upako” katika kanisa la Synagogue Church of All Nations lililoanzishwa na Mtume TB Joshua wa Nigeria. Msemaji wa polisi wa Mkoa wa Greater Accra kamanda Freeman Tetteh alisema wengine 15...
  2. Kitaja

    Baada ya vita kuu zilizopita, tujiandae kwa vita kuu ya mwisho

    Ulimwengu umejikuta katika vita visivyoisha na wakazi wake kufanywa mawakala wa vita hizi. Jambo moja liko wazi nalo ni hili, mataifa yenye nguvu yamejitahidi kutwaa umiliki wa dunia nzima na hii imekuwa ni shauku ya kila taifa linalodhani lina nguvu kushinda wengine. Biblia hutaja mamlaka hizi...
  3. Kitaja

    Hili la mifuko ya jamii linatosha kuing'oa CCM madarakani

    Habari zenu wadau wa JF, Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961. Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya...
  4. Kitaja

    Wito: Serikali ianzishe tovuti yenye CV za viongozi wote

    Ndugu wana JF habari za mchana, Ningependa kutoa maoni yangu na ushauri kwa serikali yetu sikivu kuhusu umuhimu wa kuwa na online database ikionyesha wasifu ama CV za viongozi wetu wa kisiasa hasa wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na mawaziri. Jambo hili si tu kuwa litarahisisha wananchi kuwajua...
  5. Kitaja

    Mada: Kupigana vita pasipo na vita

    Kama Mtanzania wa kawaida ninapenda kutoa maoni yangu katika vita iliyopamba moto hapa nchini dhidi ya dawa za kulevya. Kilichonisukuma kutoa maoni haya ni baada ya kuona mbinu ama njia zinazotumiwa na aliyejipa “ukamanda” wa vita hii, ama hazitaleta ushindi unao tarajiwa ama kuifanya vita...
  6. Kitaja

    Muziki wa injili dhidi ya bongo fleva

    Habari za Jumapili wana JF, Baada ya salaam hizi nachukua fursa hii kuwasilisha kwenu kwa mjadala zaidi kuhusu mada tajwa hapo juu. Wikii hii nilisafiri kwa basi kutoka mkoani mbeya kuja dar. Kama ilivyo ada ya mabasi mengi burudani mbali mbali ndani ya basi ziliendelea ikiwemo bongo muvi...
  7. Kitaja

    Leo nimenunua sukari kwa shilingi 3,000: bei elekezi bado ipo?

    Ndugu wadau, Leo katika pitapita zangu mtaani nikaona niongeze japo mifuko miwili ya sukari kwani asubuhi niliona kopo la sukari likinichekea. Kwa mawazo yangu nilijua nitalipa 3,600 kwa kilo 2 kutokana na bei elekezi ya 1,800 kwani sijasikia kama ilitanguliwa.Kufika dukani nikaambiwa bei ni...
  8. Kitaja

    Wabunge: Mmeshindwa hili la mafao ya PPF, hata hili la watoto wetu kuitwa "vilaza" mmeshindwa?

    Habari zenu wapendwa, Ni siku chache tu zimepita tangu kuibuka kwa zogo kama sio mzozo nchi nzima kufuatia kutimuliwa kwa watoto, ndugu au wadogo zetu waliodahiliwa kusomea stashahada maalumu ya ualimu katika masomo ya sayansi na hisabati. Moto huu ulichochewa zaidi na Mh. Rais pale...
  9. Kitaja

    Madai yaliyosambaa hivi kuhusu msukule si kweli

    Habari zenu wadau wa JF, Hivi karibuni tulishuhudia udhalilishaji uliopitiliza wa dada mmoja aliyedaiwa kuwa ni msukule maeneo ya kibamba ambapo picha zika zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali zikimonyesha akiwa mtupu. Kwa taarifa nilizosikia leo hii kupitia kituo cha radio cha Clouds, hayo...
  10. Kitaja

    Matokeo ya utumbuaji majipu: Serikali kulemewa na uchunguzi usioisha

    Habari zenu wana JF, Baada ya salaam, ningependa kutoa yangu ya moyoni hususani kuhusu kile kinachoitwa " utumbuaji majipu" unaoendelea kufanyika chini ya serikali ya awamu ya tano. Kinachonishangaza katika utumbuaji huu, hatuoni hatma ya wale waliotumbuliwa awali. Kwa mafano ; 1...
  11. Kitaja

    Maoni: Wabunge wa UKAWA toeni tamko kumtambua Rais Magufuli kwa masharti haya...

    Habari wana JF, Ni takribani mwezi na ushee umepita tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Aliyepata kapata na aliyekosa kakosa. Mahakama bila shaka itatenda haki kwa kesi mbalimbali zilizofunguliwa kupinga matokeo ya uchaguzi katika majimbo mbalimbali. Kwenye suala la Urais wengi...
  12. Kitaja

    Na ifike Jumapili

    NA IFIKE JUMAPILI Na ifike jumapili, tuhitimishe ukombozi Propaganda kila hali, haukwami ukombozi Wajaribu kila hali, dhahiri hawatuwezi Na ifike jumapili Wakulima na wakwezi, wanabiashara pia Pamoja wafanyakazi, hima simanzi ondoa Umefika ukombozi, hakuna wa kuzuia Na ifike jumapili Mama...
  13. Kitaja

    CCM itaepukaje kikombe hiki?

    Wana JF salaam, Katika pilika pilika zangu za kikazi nimefanikiwa kutembelea mikoa mingi ya nyanda za juu kusini ikiwemo Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na Katavi. Katika sehemu zote nilizopita niliona mwitikio mkubwa wa kutaka mabadiliko kutoka UKAWA. Nilishangaa hata ile mikoa iliyokuwa ni ngome...
  14. Kitaja

    Kandoro: Hujawatendea haki watumishi wa umma Mbeya

    Katika taarifa ya habari ya ITV mkuu wa wa mkoa wa Mbeya Bw. Abass Kandoro amesikikika akiwapiga marufuku watumishi wa umma kujihusisha na siasa mkoani Mbeya. Huu ni udikteta uliokithiri kwani kwa uzoefu wa muda mrefu wtumishi wa umma walikuwa ndio wapiga debe wakuu wa CCM na kamwe...
  15. Kitaja

    "Politics a natty game" Kasi ya Magufuli yapungua ghafla!

    Habari wana JF na Watanzania kwa ujumla, Hivi karibuni mara baada ya CCM kumaliza mchakato wa uteuzi wa mgombea wao wa urais na Magufuri kuibuka kidedea nchi ilizizima.kila kona ilikuwa ni magufuri tu na huku wengine wakifurahia kukatwa kwa Lowasa,na wakati huo huo Team Lowasa wajikijinadi kuwa...
  16. Kitaja

    Nape amewasaliti wana Mbeya msikubali

    Huyu ndugu yetu Napelile wakati wa kumtangaza mgombea wa chama chake alianza kwa kuhamasisha wajumbe toka mikoa mbalimbali. Kilichonishangaza ni pale alipotambulisha mkoa wa Lindi na kuuita ni nyumbani kwake. Najua pengine lengo lake ni kwenda kugombea ubunge huko hilo sio tatizo kwani anayo...
  17. Kitaja

    Ushauri wa bure kwa UKAWA

    Wana UKAWA ninyi ndio tumaini la watanzania wengi kwa sasa.Muda ni mali! acheni kupoteza muda katika kumteua mgombea urais. Wenzenu wanachanja mbuga na tingatinga lao nadhani wamesahau kuwa tingatinga haliruhusiwi kukanyaga rami na kuingia mjini (ikulu). Ushauri wa bure ni huu; Prof. Lipumba...
  18. Kitaja

    Kambi ya Lowassa haina weredi ila imesheheni ghilba na usanii mtupu

    Ndugu wana JF, Napenda kuwatakia heri ya sikukuu ya sabasaba. baada ya kusema hayo naomba nijikite kwenye kichwa cha mada kuhusu kambi ya mtia nia mmojawpo ndani ya CCM Ngugu Edward Lowasa ak.a mzee wa RICH-ARD MOND-ULI. Huyu jamaa amejiapiza kwa kila hali kuingia ikulu iwe kwa heri ama kwa...
  19. Kitaja

    Mdahalo wa watangaza nia ni lini?

    Wadau naomba kwa anayejua haya anisaidie; Mdahalo wa watangaza nia ni lini na saa ngapi? na kituo gani cha TV kitarusha live
  20. Kitaja

    Huyu abiria lazima katumwa kuvuruga biashara ya kampuni hii

    Wana JF, Jana nilikuwa safarini kutoka Dar kuja Mwanza kwa basi la Princess Muro. Njiani nilikutana na masahibu yaliyosabababisha tuingie Mwanza saa sita usiku na kulazimika kulala hotel nisiyokuwa naitarajia kutokana na muda. Kisa, tukiwa maeneo ya kati ya Dodoma na Singida kuna abiria...
Back
Top Bottom