Hili la mifuko ya jamii linatosha kuing'oa CCM madarakani

Kitaja

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
2,836
Reaction score
1,383
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko hata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
 
katika best decision niliyowai ifanya maishani nilivyoacha kazi mwaka 2015 kabla sijapata kazi ingine kwa dhumuni la kuchukua milion 13 zangu nssf nami nijenge angalau...

nilijilipua may 2015 nikaacha kazi... baada ya wiki nne tu nikapewa hela zangu... nikazama zangu saiti ni kuinua vyumba vyangu viwili na sebule hadi vikaisha...

nikala zangu msoto baada ya kumaliza ujenzi.. nikawa napiga vibarua tu sido kupata hela ya kula

bahati nzuri kufika october nikapata kazi ingine rasmi ya mshahara angalau....

baada ya hapo nikasahau shida za zote za msoto na za baba mwenye nyumba ...

nakaa kwangu kwa hela za nssf..

hii idea ya kuacha kazi na kuchukua mafao tulipanga wafanyakazi 6 ofisini.. tujilipue..

katika wote sita tuliothubutu ni wawili tu...

wengine wakaamua kuendelea na kazi... mwisho wa siku nssf mafao wakabana hayatoki tena...

na mmoja ameshapunguzwa kazi anahangaika na nssf tangu december mpaka leo hajapewa..

analaumu sana kwa nini hakujilipuaga na yeye..
 
nakaa kwangu kwa hela za nssf
Una heri wewe uliwahi. kwa sasa ni mateso ya dhahiri sijui tunaelekea wapi nchi hii.
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe. Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020? Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala. come 2020!
NSSF, PPF na mifuko mingine sasa hivi imejikita kujenga viwanda ili kuifurahisha serikali kwenye "Tanzania ya viwanda". Mifuko hiyo imejilipua kuingia katika ujenzi wa viwanda kwa kutumia fedha bila kuwashirikisha wenye fedha! Sasa hizo fedha ambazo mifuko hiyo inatumia kujenga viwanda ili tu kumfurahisha Mkubwa watazirejeshaje? Hapo sasa ndipo bila shaka danadana kwenye ulipwaji wa mafao itashamiri!
 
NSSF hawataki kutoa FAO kwa sababu kuu MBILI ambazo niliambiwa na staff mmoja pale UBUNGO PLAZA ,kuwa wanatakiwa kufanya
a) KUHAKIKISHA WANACHAMA WANAONGEZEKA NA HAWAJITOI
b) KUHAKIKISHA WATU HAWAJITOI BASI WANAZUIA FAO LAKO WAKIAAMINI UTAPATA TENA KAZI NA UENDELEE NA UANACHAMA WAKO
katika kuhakikisha hayo KINONDONI imekua kama sehemu ya majaribio hivyo wameanza kuzungusha watu ili ukate tamaa utafute kazi ( sijui kama wana uhakika kuwa utapata ) na ndio maana wameanzisha utaratibu wa watu wanaodai FAO waandike BARUA ( fika ubungo utaona barua ya mfano ,yaani fao lako,kazi umefukuzwa wewe lakini wao watakuambia andika BARUA ya kwanini UPEWE FAO LAKO, kifupi hawa jamaa HAWATAKI KUTOA HIZO HELA

nitarudi kueleza MENGI niliyoambiwa na kujionea hapo NSSF UBUNGO PLAZA
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
Pesa za mifuko hii zilishaliwa na serikali ya ccm kwa kujenga udom, daraja la kigamboni na magorofa yakutosha
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe. Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020? Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala. come 2020!

Kati ya mashirika ambayo hawaelewi ugumu wa maisha ni haya mashirika ya hifadhi ya jamii.

Kwanza, namna yao ya kupata fedha ni rahisi kuliko kitu chochote. Wao wanakaa ofisini kuanzia Jan 1st - Dec 31st kazi yao ni kusubiri michango na michango isipokuja kwa wakati wanakupiga faini. They simply do not toil for the money!!

Kwa sababu hawana uchungu na fedha wanazoletewa hawako makini hata kwa aina ya uwekezaji wanaofanya- angalia majengo yao mengi waliojenga na kuyaita vitega uchumi, mengi yao hayana wapangaji. Mifano ipo mingi sana, ila inayosikitisha sana ni jengo lililojengwa na NSSF Moshi ambalo halina kabisa wapangaji. Ukiuliza rent zao utashangaa wanacharge kwa squre meters - nani anaweza kulipia pango kwa square meters kwa uchumi huu?

Kwa sasa kuna recession kubwa sana ya uchumi, makampuni mengi yamepunguza wafanyakazi,- tegemeo pekee la wafanyakazi hao kulingana na hali halisi ya mishahara yetu ni akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. pamekuwepo na politics nyingi sana kwenye suala hili- mara fao limesitishwa, mara kutakuwepo malipo ya ukosefu wa jira kwa kipindi fulani , mara malipo ni baada ya miezi sita- simply there a constructed confusion . Wakati haya yote yanatokea kuna Taasisi inaitwa SSRA sijui wana-regulate nini?
 
Nssf wasichangae siku majengo yao yakianza kulipuliwa, wafanyakazi wa acacia wamegoma kuondoka baada ya nssf kukataa kuwalipa mafao na wale walinzi walioachichwa kazi wameanza jukusanya tayari kurudi mgodini. Ikumbukwe wengi wa hawa watu ni askari wastaafu na wahitimu wa jkt, subirini majibu yatapatikana sio muda mrefu.

Haingii akilini mtaalamu wa kulipua miamba na matumizi ya baruti na milipuko unamfuta kazi na mafao yake unakatalia, huku unataka nchi ibaki salama!
 
Hao SSRA Ndio usiwe me kabisa ,they are there for nothing .hili fao la kujitoa litawagarimu tu ccm na serikali yake .
Mtu kafukuzwa Kazi,au kaachishwa Kazi alafu jasho lake unalikalia ka kumsumbua sumbaa ,matokeo yake afe wapige pesa.
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
Unajua yanapowafika ndio mnaelewa umuhimu wa watu kama Tundu Lisu waliopigia sana kelele suala ili,naelewa wewe uko ACACIA na umesomeshwa namba,tulia ndugu dozi iingie vizuri,acha kuwashwawashwa
 
Jpm kafanya jema kudhibiti biashara ya madini na usafirishaji wa makinikia katika kufanya hivyo wapo walioathirika ila kwa nia njema ya kulinda rasilimali za nchi,

sasa iweje mkatalie na stahiki za watu walio athirika na hatua hizi za serikali? Mtumishi akihamishwa analipwa stahiki, mtu akipisha eneo kwa ajiri ya mradi analipwa fidia, iweje mtu aliyepisha unyonyaji wa madini kupitia makinikia ukatalie mafao yake?

Naona hapa wala sio kulinda rasilimali ni kukomoana tu.
 
Hili litakuja kuleta shida kubwa mno.

Wahusika waliangalie. Tupatiwe haki yetu hii na kwa wakati.
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
Jamani mnaongelea December Mimi July mwaka Jana so nimetimiza mwaka na miezi nahangaika tu hapo Ubungo plaza kiukweli hii kitu inatia uchungu kazi hatukuchagua kuacha tumeachisahwa miradi haina hela tunapigwa danadana hadi unasema viongozi wetu wanajali wao kushiba
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
Mku wakiweza kujiunga kama watu 20-30 wakifungua Kesi nakuambia fedha wanachukua fasta
 
Kwan tatizo limeanza leo?hapana kwa hiyo ccm hawezi kutoka madarakani kwa hoja hizo, that's why serikali Inataka ipeleke muswada wa jambo hilo bungen
 
katika best decision niliyowai ifanya maishani nilivyoacha kazi mwaka 2015 kabla sijapata kazi ingine kwa dhumuni la kuchukua milion 13 zangu nssf nami nijenge angalau...

nilijilipua may 2015 nikaacha kazi... baada ya wiki nne tu nikapewa hela zangu... nikazama zangu saiti ni kuinua vyumba vyangu viwili na sebule hadi vikaisha...

nikala zangu msoto baada ya kumaliza ujenzi.. nikawa napiga vibarua tu sido kupata hela ya kula

bahati nzuri kufika october nikapata kazi ingine rasmi ya mshahara angalau....

baada ya hapo nikasahau shida za zote za msoto na za baba mwenye nyumba ...

nakaa kwangu kwa hela za nssf..

hii idea ya kuacha kazi na kuchukua mafao tulipanga wafanyakazi 6 ofisini.. tujilipue..

katika wote sita tuliothubutu ni wawili tu...

wengine wakaamua kuendelea na kazi... mwisho wa siku nssf mafao wakabana hayatoki tena...

na mmoja ameshapunguzwa kazi anahangaika na nssf tangu december mpaka leo hajapewa..

analaumu sana kwa nini hakujilipuaga na yeye..
Kwa roho yako ya kijasiri na kuchukua risk basi unaweza kuanzisha suala lolote la kimaendeleo ukafanikiwa kwa asilimia kadhaa
 
Back
Top Bottom