Search results

  1. Kazakuku

    Hongera zenu wazee wa kubet kwa kufikisha thread ya 210400

    Napenda niwapongeze wale wazee wa kubet na Uzi wao kwa kufikisha reply zaidi ya 210400,aisee kubet chama LA wengi kweli nmeamini,nawasilisha.
  2. Kazakuku

    Wanawake jitahidini usafi sehemu za Ikulu mnaaibisha

    Habari zenu ndugu wana JF, Hakika naandika hili jambo nikiwa nimekwazika sana, hivi inakuaje mwanamke wa ki analog unakuwa mchafu sehemu ya papuchi, dah maana kwa nilichokutana nacho leo sina hata hamu ya kuchepuka tena. Nimekutana na kamwanamke ukikaona kazuri kumbe ndani dah ni aibu tupu...
  3. Kazakuku

    Flash Disk Memory card zinauzwa

    Flash Disc Toshiba Made in Philippines with 5 years warranty 4 gb 10000 8 gb 12000 16 gb 22000 32 gb 35000 Memory Card made in Taiwan 2 gb 7000 4 gb 10000 8 gb 12000 16 gb 22000 32 gb 32000 Niko Dar kama unataka ni pm/sms/calL nikuletee mzigo kokote ulipo Dar. Wa mikoani tunaweza kuangaliaa...
  4. Kazakuku

    msaada namna ya ku unlock Sim card katika huwawei Y300

    Ndugu wana jf naomben msaada namna ya ku unlock huwawei Y300.aksanteni sana.
  5. Kazakuku

    msaada kwa aliye na product key za window XP park 2 2002 anisaidie!

    Ndugu wana JF,please naomba msaada wa product key za window Xp 2002 park 2.zangu nmepoteza jaman please nsaidieni.natanguliza shukrani.
  6. Kazakuku

    Nauza mashamba ekali 200 bei milioni 12 yapo nkasi mkoa wa rukwa.

    Ndugu wana JF habari ya leo?napenda kuwataarifu ya kuwa nauza mashamba ekali 200 bei shilingi milion 12 kwa ekali zote,mashamba haya yanafaa kwa kilimo pia hata ufugaji.mashamba haya yapo wilaya ya nkasi mkoa wa Rukwa,kwa maelewano na maelezo zaidi.
  7. Kazakuku

    yahusu kuomba partnarship ya kampuni yoyote ya bUilding and Civil engenearing!

    Ndugu wana JF habari ya siku hii ya leo,naamini humu ndani tunakutana na watu wa aina mbalimbali,naomba mtu yeyote aliye na kampunia au kampuni yoyote ya building and Civil Engenearing ili kufanya nayo partnarship chini ya makubaliano ya kati yangu na yeye pindi nnapofanya kazi zozote zile za...
  8. Kazakuku

    msaada key za kaspersky 2013 ant virus....

    Natanguliza shukrani...
  9. Kazakuku

    Nauza Ving'amuzi vya StarTime Bei poa hapa Mwanza!

    Ndugu wana jamii forum!kwa wale wanaohitaji king'amuzi cha starTime(decoder ya StarTimes)zinapatikana kwa bei poa kabisa !kwa anayehitaji tuwasiliane kw
  10. Kazakuku

    natafuta Min Laptop kwa tsh 300000 tu.

    Ndio wandugu!nahitaji Min laptop kwa tsh 300000 tu. Aliyenayo an PM.ila brand New!
  11. Kazakuku

    MSaada:Taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa NMB lake zone na Highland Zone.

    Habari wana JF,please naomba kujuzwa kuhusu application zilizotumwa NMB lake zone na Highland zone post za Bank officer imefikiawap na wameshaanza kita au?natanguliza shukrani!
  12. Kazakuku

    msaada please naomba nafasi ya kazi

    Kwa yeyote aliye mwanza na kama anasoma post hii naomba anipe kazi yoyote ile ila iwe halali maana maisha ni magumu jaman mpaka nawaza na yasiyopaswa kuwazwa! Elimu yangu ni ya Diproma of Public Administration,natanguliza shukrani.
  13. Kazakuku

    msaaada kwa anaefahamu ratiba ya treni mwanza

    Habari wana jF naombeni mnisaidie ni lini treni inatoka mwanza kwenda tabora?aksanteni
  14. Kazakuku

    kwa anayefahamu jengo la ashifu ladhani lipo maeneo gan please anitaalifu

    Ndugu wana jf please jamaa ameitwa interviw ya access bank na wamedai kwamba itafanyika jengo la ashifu ladhan lipo sehem gani au hawa access bank wako sehem gan hapa mwanza!
  15. Kazakuku

    msaada kiwango cha mshahara wa field officer

    Ndugu wana Jf naomba mnisaidie kiwango cha mshahara wa field officer!
  16. Kazakuku

    msaada maswali ya interview ya field officer ya accessbank!

    Habari wan JF,kunajamangu kaitwa interview ya accessbank post ya field office,je ni maswali gani yatakayoweza kuwepo katika interview hiyo please mwaga dondoo japo nimueleze ili awe na ideal,thanx nawasilisha!
  17. Kazakuku

    Uhamiaji koplo na kontebo.

    Habari zenu wakubwa!ndugu zangu wana JF kuna rafiki angu anauliza kwa yeyote yule aliye na taalifa juu ya nafasi za kazi zililzoombwa imefikia wapo na je washaweka shortlist..?
  18. Kazakuku

    natafuta uwakala wa kampuni inayojishughulisha na Usafi.

    Habari wana Jf,natafuta uwakala au partnaship ya katika kampuni yeyote ile ya usafi au ukandalasi ili niwe nasimamia kama mambo yote katika sehemu hii nilipo.
  19. Kazakuku

    Yahusu kutafuta mfadhiri katika kanisa.

    Habari wana JF,naamini ya kumu ni wazima na MUNGU anaendelea kuwajalia,kama nilivoeleza hapo juu,Mtu unaweza kuwa na ndoto flani zako ili utimize ila unashindwa kutokana na sababu flani, nasema hivi kutokana na Maono na malengo ya Mchungaji huyu kukwama sababu ya kukosa pesa,Mchungaji 1...
  20. Kazakuku

    natafuta gali aina ya Fuso kwa mkopo.

    Ndugu wana jamii forum natafuta gali aina ya fuso kwa mkopo .
Back
Top Bottom