Kazakuku
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 354
- 110
Habari wana JF,naamini ya kumu ni wazima na MUNGU anaendelea kuwajalia,kama nilivoeleza hapo juu,Mtu unaweza kuwa na ndoto flani zako ili utimize ila unashindwa kutokana na sababu flani, nasema hivi kutokana na Maono na malengo ya Mchungaji huyu kukwama sababu ya kukosa pesa,Mchungaji 1 ameniomba nimwekee tangazo hili humu jamvini maana JF ndio mwisho wa yote....Anaitwa........ni Mchungaji wa kanisa..........anaishi mkoa wa RUKwa, anatafuta mfadhiri atayesaidia kugharamia huduma yake maana huduma inashindwa kuelekea mbele kutokana na kukosa fedha za kufanikisha huduma......hivyo anaomba mtu yeyote yule aliyeguswa na swala hili amsaidie Mchungaji huyu........kwa aliye tayari kwa ushauli au pia msaada ani PM....Aksanteni sana...Nawasilisha.