Search results

  1. Marcel_10

    Mama sasa nimekua, acha kucheza vigodoro huku unatikisa Makalio

    Kaka video iko wapi.!? Tutaamini vp maneno yako
  2. Marcel_10

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status : job seeker, Internships, Volunteer Proffesional : BSC Agricultural and natural resources economics and business ( Agricultural Economics.-UDSM ) Skills; Sales , marketing, Economist, Project Management, Agricultural counsultancy and Management, Planning ( Economical Planning ),Data...
  3. Marcel_10

    Sitaomba kazi tena, wacha niwe jeuri tu!!

    Brudar Leben ist sehr gut
  4. Marcel_10

    Wale tunaotafuta ajira na kutoa ajira tukutane hapa

    Kama sio utapeli toa maelezo
  5. Marcel_10

    Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

    Ila ngoja nishauri Kama unaweza kupata mtu ( ndugu, Jamaa, Familia ) akawa na 25milion ikatumika kama Fund ya kuonyesha nchi husika Ukiwa na bajeti ya 5-8 million unaweza kusoma nchi za nje especially Europe / US au Canada vzr tu. Maana hapo unaweza kupata part time job ukiwa huko hvyo...
  6. Marcel_10

    Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

    Kwahvyo ni Bora ukatumia ma-agent TASSA wanasema unaweza kupata kozi za Bachelor Kwa million 5 Kwa mwaka au Masters Kwa 10 Kwa mwaka Kwa nchi kama Poland , Cyprus na India .
  7. Marcel_10

    Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

    Kufanya application ni rahisi na probably unaweza kupata chuo Tatizo linaanza kwenye fund ambayo ita-cover gharama zakoo za kuishi Kwa mfano nchi nying za ulaya na america wanataka Dola elfu10 ( approximately to million 20 ) Kwa mwaka.
  8. Marcel_10

    Kwa nini ni ulaya Tu na sio bongo

    Bongo tayari wanafanya muda tu ( nadhani hakufuatilia au hauna taarifa ) hasa kwenye simu Mitandao ya simu hufanya hvyo Mfano Kwa Sasa Airtel wanatoa hiyo hudama na ( hapo nyuma tigo pia walikuwa wanafanya ) Tatizo kwenye Airtel simu ya laki mbili ( 200k )dukani wao wanauza Kwa mfumo huo...
  9. Marcel_10

    Jinsi gani naweza kusoma Open University?

    Kaka no hv hiyo foundation aneyesoma ni yule aliyemaliza form six mwenye kuanzia matokeo ya III ya 14( Three ya kumi na nne ) Yaaan matokeo yake haya mwezeshi kwenda kusoma degree moja Kwa moja NA SIO MTU ALIYEMALIZA FORM FOUR
  10. Marcel_10

    Ordinary Diploma in Sports Management and Administration

    Hv ni vitu vidogo visivyohitaji hats kuomba msaada Kwa watu Smartphone yako unaitumia ufanya nini.. Eeb nenda GOOGLE type jina la hiyo course halaf uone kama uliitajia kuleta hiyo aibu yako hapa 😂😄
  11. Marcel_10

    Je, kusoma masters ni kuanzia GPA ya ngapi kwa bachelor graduate?

    Sio 2.8 Bali ni 2.7 2.7 hii ni Lower second class ambayo ndio kigezo minimum cha Tanzania commission for university Kwa mtu anayetaka kusoma masters Kwa chuo chochote Tanzania though Kuna baadhi ya VYUO vinavigezo vyao kulingana na kozi husika
  12. Marcel_10

    Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

    Hzo ni sehemu ya changamoto kaka
  13. Marcel_10

    Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

    Kweli kila Biashara inachangamoto
  14. Marcel_10

    Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

    Okay 🚮 next time pita kule usije na kejeli zako
  15. Marcel_10

    Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

    Usikatishe tamaa watu Njoo tuingie mkataba Tuone Kama hutopata hesabu yako
  16. Marcel_10

    Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

    Habari wakuu Sikuizi naona IST na Vitz nyingi Sana sinauzwa mitaani.. Nina idea ya Biashara kidogo Idea yenyewe ni hivi Natafuta watu 5-10 , Ambao tutaandikishana mkataba , ambapo baada ya kuuza gari, ulete gari yako tukufanyie kazi kwa muda wa miaka miwili (2). Kwa miaka 2, kila siku...
  17. Marcel_10

    Msaada: Nimepata dharura nahitaji Mkopo wa milion mbili, nitarudisha baada ya mwezi mmoja kwa riba ya 20%

    waTz kwenye swala la huruma limewakalia kushoto sana Kaka ngoja nikueleze Mimi Sina hiyo pesa, Ila pia watanzania wengi wazushi tu, angalia hapo maswali yalivyokuwa mengi pasipo kujitokeza hata mtu mmoja ambaye anaweza kukupa hiyo pesa. Mtanzania yupo lazi amnyime nduguye atumie pesa hiyohiyo...
  18. Marcel_10

    Treasury Bonds/T-bonds/T-Bills/Bonds/Hati Fungani ni Uwekezaji "Kichaa"

    Sijui umfikiria Nini kuandika ulichoandika KWANGU NAONA NI UPOTOSHAJI NA UMETOA USHAURI WA HOVYO HOVYO SANA Ngoja nikupe kaelimu kidogo Treasury bond ni risk free ( ikimaanisha hupotezi kile utakachowekeza ) Nikupe mfano Ukiwekeza 100Million kwenye treasury bond ya miaka 20, ambapo Bank of Tz...
  19. Marcel_10

    Nafasi ya kazi kwa Dereva wa Uber

    Habari ndugu Dereva wa Uber anatafutwa Awe na sifa zote za dereva wa Uber Awe msafi Mchapakazi Mwenye uzoefu Na mwenye nidhamu WhatsApp 0737480658
Back
Top Bottom