Search results

  1. Candy kisses

    Siku ya kwanza kutambulishwa ukweni

    Unakumbuka ilikuaje? Unakumbuka ulivaaje?Je walikupokeaje? Nimeenda na ndugu yangu juzi alikaribishwa ukweni kwa mara ya kwanza....wiki nzima alikua restless,trying to do everything to impress her "inlaws" tupeane uzoefu,ulijiskiaje baada ya kuondoka??Maana ni kama kufanya interview...loooh!
  2. Candy kisses

    Anayejua mapishi ya makopa ya mihogo

    Habari wanajamvi! Naombeni mnielekeze mapishi ya mihogo ilokauswa (makopa). Nakumbuka nilishawahi kula hiki chakula nikiwa mdogo ni kitamu sana na nitamani nipike tena. Nitashukuru sana kwa kuelekezwa pishi hili. Wadigo wenzangu, Wabondei, Wasambaa naombeni uzoefu.
  3. Candy kisses

    A special dedication for MZAB ZAB (someone help me tag him)

    All that I wanted to say in this song.I hope you'll like it. I miss you. Yours trully, Candy Kisses ...
  4. Candy kisses

    A thought I decided to put into words

    It is tough to stay Single in this world where everybody expects you to be with somebody. What they fail to realize is that staying Single is not about having no choice. Rather, it's an opportunity to make intelligent choices.
  5. Candy kisses

    Happy Birthday Candy Kisses

    Leo 13 January nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Moyo wangu umejaa shukrani nyingi kwa Mungu wangu aliyenipa mwaka mwingine katika maisha yangu. Kila nilichonacho maishani kwangu naona kama ni Baraka kubwa sana Wazazi, Ndugu, Marafiki ,Elimu, Kazi,Afya njema na mengine mengine ambayo wengine...
  6. Candy kisses

    Nini kili inspire Uwe na Jina hilo humu JF?

    Habari wana jamvi? Mara nyingi nikisoma threads na comments za watu humu huwa lazima niangalie jina la muhusika ,nini kilikufanya uwe na username ulonayo? Ni jina la role model wako?Ni kitu unachokipenda? Ni kifupi cha jina lako? Kwa kuanzia tu mimi Candy Kisses ni wimbo niupendao sana ndo...
  7. Candy kisses

    Natafuta nyumba ya kupanga.

    Habari zenu wanajamvi. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kinondoni,Mikocheni,au Sinza. Iwe chumba kimoja self contained ama viwili bei isizidi.Iwe kwenye mazingira mazuri kwenye usalama sio uswahilini. Natanguliza shukrani.Tuwasiliane kwa PM.
  8. Candy kisses

    Usione mwanaume katulia kwenye ndoa ukajua kaendewa kwa mganga,uganga tunao wenyewe wanawake....

    Jana tulikua na kamjadala karefu kidogo kuhusu hawa wandugu kitu gani wanataka ili watulie ndoani. Nami nimeyachuja, nikaongeza na tu chumvi kidogo ili kunogesha. haya si maneno yangu. Ni yakwao wenyewe. Mwenye macho na asome na mwenye kusikia asikilize sauti yake mwenyewe ikisoma...
  9. Candy kisses

    save the children

    Habari zenu wadau? Naombeni kujuzwa save the children nafasi ya project officer na administrative officer wanalipa kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  10. Candy kisses

    Ushosti kazi....huyu normal kweli????

    Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie. Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa changu...
  11. Candy kisses

    Huyu Mwanaume ni -----,kawekewa ndondo au anaogopa akipiga ataua?????

    Jamani nimeshikwa na mshangao.com sijiu kama ni kawaida lakini mimi inanishangaza Mwanaume kupigwa na mkewe yani kupigwa haswaaa! Hapa job kwetu kuna mtumishi mwenzetu anapigwa na mkewe yani anapewa kipondo cha uhakika anakuja kazini kuonyesha watu majeraha mara kang'atwa mara kapigwa na gongo...
  12. Candy kisses

    Inachekesha lakini kweli.....

    Kumpenda mtu asiyekupenda ni kama mwanafunzi wa HGL kufaulu mtihani wa Hesabu,inabidi uwe na moyo mgumu kama bati la Alluminium.. Kwakweli inabidi kabla hujafall mzima mzima kama furushi la nguo chafu upime angalau kuna lita ngapi za Love kwenye tenki la huyo mtu,unaweza ukaanzisha safari ya...
  13. Candy kisses

    inahuu!!

    She is not your sister, cousin, or even distant relative and she's somebody's wife and you are a man but you are busy texting her "dear umeamkaje, dear umekula, dear take care, dear have a good night, dear God is good...", ... He is not your husband, brother or even distant uncle, you...
  14. Candy kisses

    Kibaka kabugi

    Kuna kibaka mmoja kabugi,wanasema siku za mwizi 40 basi yy ilikuwa ya 39,ilkuwa hivyi Baada ya kuiba vituvingi kwenye nyumba moja akulidhika kakomba vitu vingi si kasahau deki kuludi akabananishwa na njemba limeshiba pandezote za mwili JAMAA:Kumbe ndio ww unatakakuni lidisha nyuma twende...
Back
Top Bottom