Kibaka kabugi

Kibaka kabugi

Candy kisses

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
297
Reaction score
211
[h=5]Kuna kibaka mmoja kabugi,wanasema siku za mwizi 40 basi yy ilikuwa ya 39,ilkuwa hivyi
Baada ya kuiba vituvingi kwenye nyumba moja akulidhika kakomba vitu vingi si kasahau deki kuludi akabananishwa na njemba limeshiba pandezote za mwili
JAMAA:Kumbe ndio ww unatakakuni lidisha nyuma twende huku.
Baada ya safari ndefu bila ya kuona kama atamdhulu jaama anasonga tu mara kitu cha kwanza wamekipita,
MWIZI:Mmmmh!!!!!!!
Mara kitu cha pili wanakipita
MWIZI:Mmmmmh!!!!!!!!!!!???......
Mara kituo cha tatu cha polisi nacho wanakipita
MWIZI:Akanza kupiga kelele jamani mimi mwinzi jamaniiiiii,jamaniiiiiiiii mimi mwiziiiiii watu kuja kumuoji yule jamaaa alikuwa anampeleka wapi yule mwizi Mmmmh unataka nimalizie,we ushajua kilicho taka kumtokea kwa mwizi[/h]
 
mwz amejshtukia tu,inawzkn angeachw aend zake
 
Ahahahahahahaha umelitupa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahahah chezeya amekuwa mdogo anajisalimisha mwenyewe hhahhah angemuomba samahani tuu yaishe. Hiyo kali

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom