Natafuta nyumba ya kupanga.

Natafuta nyumba ya kupanga.

Candy kisses

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
297
Reaction score
211
Habari zenu wanajamvi.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kinondoni,Mikocheni,au Sinza. Iwe chumba kimoja self contained ama viwili bei isizidi.Iwe kwenye mazingira mazuri kwenye usalama sio uswahilini.
Natanguliza shukrani.Tuwasiliane kwa PM.
 
Habari zenu wanajamvi.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kinondoni,Mikocheni,au Sinza. Iwe chumba kimoja self contained ama viwili bei isizidi laki moja.Iwe kwenye mazingira mazuri kwenye usalama sio uswahilini.
Natanguliza shukrani.Tuwasiliane kwa PM.
Ninayo lakini tunashare sebule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom