Search results

  1. NEW NOEL

    Malipo katika biashara ya barbershop

    Wadau, Ninaomba kuuliza namna ambavyo biashara ya barbershop (saloon za kiume za kisasa) inaendeshwa? Je maelewano kwenye upande wa mmiliki na vinyozi pamoja na wadada wanaofanya scrub, massage n.k inakuwaje?
  2. NEW NOEL

    'Dr. Shika ni nani? Ni watu gani wapo nyuma yake?

    Naomba mnisaidie,yawezekana mimi nawaza mawazo yangu yananipeleka kusiko. Luis Shika ni mtu mwenye akili timamu,smart,anajua anachofanya na anafurahia anachofanya na jinsi alivyofanikiwa na upo uwezekano kuna watu nyeti kabisa wapo nyuma yake na wanajua wanachokifanya. Ukitazama kwa jicho la...
  3. NEW NOEL

    Hatimaye Wahaya wamjibu MUSEVENI

    This is how Wahaya responded to MUSEVEN yesterday at BUKOBA INTERNATIONAL AIRPORT...
  4. NEW NOEL

    Mbona tunakomoana hivi??

    Hivi Savanna na St anna si vinywaji ambavyo vimeingia juzi juzi tu hapa bongo. Lakini mtu a nakunywaaaa kama soda ya coca vile.. Mbona hawa watoto wa kike wanakomoa hivi[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
  5. NEW NOEL

    Huyu mchezaji wa Arsenal ni jipuu

    Mimi kama mpenzi wa Arsenal nimefurahi kusikia taarifa mpya za usajili wa mchezaji wa kimataifa kutoka Japani. Ila kutokana na hii sheria ya mitandao nahisi nitakosa uhuru wa kufurahi pale mchezaji huyu atakapokuwa anafanya makeke yake uwanjani. Najaribu kutafuta kifupi cha jina nitakalomwita...
  6. NEW NOEL

    Isidingo: Pastor Gabriel katika harakati zake

    Jina lake halisi ni Aubrey Oppo na anaigiza katika tamthilia ya Isidingo kama Pastor Gabrier akifunua tabia za kileo za watumishi wengi wa Mungu.
  7. NEW NOEL

    Je wewe utaenda Peponi?

    Jamaa huyooo kashajihakikishia
  8. NEW NOEL

    Namna Mkoa wa Kilimanjaro unavyokua kwa kasi

    Picha hizi ni maeneo ya Machame katika wilaya ya Hai ambayo mbunge wake ni Freeman Mbowe. Kwa kweli inatia moyo kuona namna watu wa mkoa huu hususani wachagga wanapofanya uwekezaji katika maeneo yao. Na wanafuata ila falsafa inayosema 'Charity begins at Home'. Na kwa sasa badala ya kujenga...
  9. NEW NOEL

    Ujumbe wa Museveni kwa wapinzani wake

    Huu ujumbe ni kutoka kwenye akaunti yake ya tweeter.
  10. NEW NOEL

    Maisha ya Instagram

    Tunaweza kusema ni maisha ya picha yaani maisha ambayo hayana uhalisia wowote.Kukua kwa tasnia ya habari na mawasiliano hususani kwenye upande wa mitandao ya kijamii kimesababisha kubadili mfumo wetu wa maisha aidha kwa kurahisisha upatikanaji habari au kwa kusababisha mfumo wetu wa maisha...
  11. NEW NOEL

    Dawa ya kuepuka mizinga ya Valentine

    Watu wanapotafuta mbinu ya kuepuka kutolewa upepo wakati wa valentine
  12. NEW NOEL

    Hatimaye UAE watoa orodha ya wanasiasa wanaomiliki mali Dubai na Abu Dhabi

    Umoja wa falme za Kiarabu umetoa orodha ya wanasiasa waandamizi wa Nigeria wanaomiliki mali na vitega uchumi huko. Na wengi wao ni wale waliokuwa katika serikali iliyopita ya Goodluck Jonathan. Hii ni vita dhidi ya ufisadi ambayo Rais Muhammadu Buhari ameianza katika kuhakikisha pesa...
  13. NEW NOEL

    Mama manka ameharibu hivi

    Yaani leo mama manka kamaliza mbege mapema sanaaaa. Ina maana alipika ya watu wachache.
  14. NEW NOEL

    Blackberry bold 9900

    Simu aina ya Blackberry bold 9900 inauzwa ikiwa na vifaa vyake vyote(kasoro boksi). Inauzwa ikiwa na charger,headphones,battery kit(kifaa chake cha kuchajia battery) na CD zake. Bei ni 230,000. Simu: 0769223767
  15. NEW NOEL

    Kusajili jina la biashara kwa njia ya mtandao Brela na matatizo yake

    Tafadhali wadau wakala wa usajili wa biashara (Brela) wameanzisha mfumo wa usajili wa majina ya baishara kwa njia ya mtandao. Ila ni muda sasa mtandao huo unasumbua na haufanyi kazi. Na ukienda ofisi zao wanakataa kusajili. Je kuna njia nyingine wadau ya kufanya?
  16. NEW NOEL

    Blackberry Bold 9900

    Ina keybord na pia unaweza tumia touch. Inauzwa 270000. Kwa mawasiliano ni 0769223767
  17. NEW NOEL

    Sony experia z (new)

    Simu ya Sony Experia Z inauzwa kwa 480,000/= maongezi yapo. Nicheki 0769223767
  18. NEW NOEL

    Lg nexus 5 (used)

    Simu aina ya LG Nexus 5 imetumika inauzwa kwa shilingi 380,000/= tu. Nicheki kwa simu namba 0769223767 au ni pm
  19. NEW NOEL

    Simu ya lenovo vibe x s 960 inauzwa(mpya na haijatumika)

    simu kali aina ya lenovo vibex inauzwa kwa bei nzuri ya 450,000 na unapata na kava la simu Kwa mawasiliano: 0715223767 specifications za simu hii ni kama ifuatavyo: 1. Operating system yake ni android 2. Internal memory ni 16 gb 3. Camera ni 13 mega pixel na front camera ni 5 megapixel
  20. NEW NOEL

    Power bank aina ya parkman!!

    power bank aina ya parkman zikiwa na ukubwa wa mah(milli ampere hour) 10000 zikiwa na uwezo wa kuchaji simu za mkononi zinapatikana,na zikiwa katika rangi tofauti tofauti kama nyeupe,blue,pink na njano. Bei ni shs 55000 tu!! Kwa mawasiliano simu 0715223767
Back
Top Bottom