Kama anajua mitandao ya kijamii ni njia nzuri ya mawasiliano, sasa kwa nini huyu mtu wa hovyo M7 aliifunga mitandao siku ya uchaguzi. Pamoja na uafrika wangu naona ni bora niwe chini ya utawala wa mzungu.
Kuna kitendo kibaya polisi wa uganda walikifanya hakipendezi kabisa
Amekamatwa mama na kumvua ngua hadharani
Akibaki na chp na sindilia tu
Kiukweli ni laana hiyo
Mama akaona sio mbaya akatoa na chp live du!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.