NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 408
Mimi kama mpenzi wa Arsenal nimefurahi kusikia taarifa mpya za usajili wa mchezaji wa kimataifa kutoka Japani.
Ila kutokana na hii sheria ya mitandao nahisi nitakosa uhuru wa kufurahi pale mchezaji huyu atakapokuwa anafanya makeke yake uwanjani.
Najaribu kutafuta kifupi cha jina nitakalomwita ila nashindwa maana natamani kumwita jina lake kamili.
#By the way najitoa muhanga kusema "Karibu Takuma kwenye timu yetu".