NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 408
Picha hizi ni maeneo ya Machame katika wilaya ya Hai ambayo mbunge wake ni Freeman Mbowe.
Kwa kweli inatia moyo kuona namna watu wa mkoa huu hususani wachagga wanapofanya uwekezaji katika maeneo yao. Na wanafuata ila falsafa inayosema 'Charity begins at Home'.
Na kwa sasa badala ya kujenga tu nyumba za kuishi,utaweza kuona namna hata Hotel na Lodge za kisasa zikijengwa.
Nafikiri ni wakati sasa na watu wa maeneo mengine nao wakafanya uwekezaji.
Kwani sio tu watachangia pato la taifa bali watatoa na ajira kwa watu wa maeneo hayo.