Search results

  1. mackie

    Namna ya kufungua documents zilizoliwa na virus kwenye flash

    Kama kichwa hapo juu, naomba nitoe somo kidgo kuhusu namna ya kurudisha au kutoa documents zako zilizofichwa na virus kwenye frash yako,. ni rahis sana na haitakugharimu kitu chochote ,fuata maelekezo hapa chini halafu utafanikiwa . 1.weka frash yako kwenye pc , 2.bonyeza start ,halafu bonyeza...
  2. mackie

    Namna ya kufungua documents zilizotafunwa na virus kwenye flash

    Kama kichwa hapo juu, naomba nitoe somo kidgo kuhusu namna ya kurudisha au kutoa documents zako zilizofichwa na virus kwenye frash yako,. ni rahis sana na haitakugharimu kitu chochote ,fuata maelekezo hapa chini halafu utafanikiwa . 1.weka frash yako kwenye pc , 2.bonyeza start ,halafu bonyeza...
  3. mackie

    Napataje free VPN bila kuilipia?

    Kama kichwa cha habari hapo juu, Nahitaji kuingia net untresable lakini nashindwa kuinstall VPN sahihi kwenye PC yangu. Wananiomba visa nilipie but mi nahitaji free, vipi naipataje hiyo free? Naombeni utaalamu zaidi kwa wale wajuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    Kama nilivyotangulia kusema,nina Hp hd500,Ram 4,procesor 2.6 Nimeinunua ikiwa used product nikafomart kwa kupiga window kila kitu ikawa mpya kbsaa nikaitumia kwa muda wa masaa 3 nikaizima nimeamka kila nikiwasha inaleta vitu kama hivi, nikizima na kuwasha problem inaremain the same..naomba...
  5. mackie

    Kuna uhusiano gani kati ya vituo hivi vya Trace Tv, ST music, Kiss Tv, na magic tv

    kuna uhusiano gani kati ya hizo channel zinazocheza nyimbo zilizopo katika billboard chart ( music on chart) kupiga nyimbo kwa upendeleo mkubwa nyimbo za nigeria zaidi..?? kwa mfano kama una king'amuzi cha startimes kuna channel kmaa st music inayopiga nyimbo za dunia zilizopo latika top chart...
  6. mackie

    Kama mechi ijayo Cameroon na Australia wakashinda mechi zao,itakuwaje hapo..??

    tunajua kuwa Ugeruman na chile wanaongoza kundi kwa kuwa na point 4 kila mmoja bada ya kutoka sale mechi ya jana na hapo hapo Austria na cameroo wakiwa na point 1 kila mmoja bada ya kutoa sale jana.... swali langu najiuliza ikiwa kila mmoja kabakiza mechi moja moja kumaliza mzunguko wa...
  7. mackie

    Korea Kaskazini: Jaribio la bomu la nyuklia limefanikiwa kwa asilimia 100

    Korea Kaskazini imesema zoezi la kujaribu makombora yake lilifanikiwa kwa asilimia 100 siku ya Jumapili. Kombora hilo ni aina mpya yenye uwezo wa kubeba vilipuzi vingi zaidi. Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vinasema jaribio hilo limeusisha kombora la masafa ya kati liitwalo...
  8. mackie

    Zlattan vs Pogba....hizi ni kufuru zao

    tazama punga wanalolivuna pale Old traford...mamaaeeeeee... ]
  9. mackie

    Nyimbo kali na hatari za Billboard na EDM hits (charts) pitia hapa hutojuta

    kwa wale wapenzi wa nyimbo za billboard chart,UK.top 40, na Electronic dance music (EDM SONGS) mpya mpya na kali za hatari angalia hapa kisha tafuta upakue ..hutajuta... N.B..sio kila wimbo mpya ni mkali ..kuna zingine zinakuwa mpya tu ila radha inakuwa ya kawaida....sasa hapa chini nimezipanga...
  10. mackie

    MSAADA::; WANAOSOMEA COMPUTER ENGEERING,IT,SOFTWARE,NA KOZI ZOTE ZINAZOHUSU COMPUTER PAMOJA NA SIMU

    HABARI wana jamvi humu..? Ebana mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa miaka mingi japo sikubahatika kusomea mambo ya kumputer ila nilisomea mambo mengine ..lakini nimefanya utafiti binafsi nikagundua kuwa wale wote wanaosomea computer engeneering,Information Technology(IT),computer science...
  11. mackie

    Ukimya wa Mwigulu na haya yanayoendelea, aachie ngazi

    Haiwezekani matukio makubwa ya mauaji pamoja na haya ya utekaji yanazidi kushika kasi dhidi ya raia wema na polisi kwa ujumla yanashika kasi lakini upo kimya na hakuna juhudu thabiti unazofanya.. Unapruvu failure braza ,wizara imekushinda kweli..kuwa muwazi kwa hili,ni juzi juzi tu bunge...
  12. mackie

    JE ! NI KWELI ALICHOKISEMA ROMA MKATORIKI KINA UKWELI NDANI YAKE...??

    Ameanza kwa staili hiii... Hapo zamani za kale Abunuwasi alimuendea mfalme akamwambia anaweza kumshonea suti ya thamani sana ambayo wenye dhambi watakuwa hawaioni na wasio na dhambi tu ndio watakuwa wanaiona. Mfalme akampa kazi Abunuwasi ya kutengeneza suti ya aina hiyo kwa ajili yake. Kwa siku...
  13. mackie

    vita hii kati ya A na B ni nani ataibika mshindi...??

    toa maoni yako juu ya sakata linaloendelea kati ya ndgu hawa wawili.... :::je nini hatima yake ...tupia jibu hapo ni nan ataibuka kuwa gangweee??
  14. mackie

    The invisible and visible governments of United States of America (USA)

    Habarini za mida hii wadau wa jukwa hatari la Jamii Intelligence..!!! kama heading inavyojieleza hapo juu ..ninapenda kuwaomba wana jamvi wenzangu mlio na uelewa juu ya uwepo wa visible na invisible governments katika taifa kubwa duniani la U.S A kwani inasemekana kuwa kuna serikali mbili...
Back
Top Bottom