Search results

  1. Asclepius

    Kwa atakaeelewa

  2. Asclepius

    Moja ya IST za Makonda

  3. Asclepius

    Tunakoelekea

  4. Asclepius

    Sayansi ya anga za juu imepatwa na pigo la kuondokewa na mwanaanga JOHN YOUNG (87) wa Marekan

    SAYANSI YA ANGA ZA JUU YAPATA PIGO.. Na Danny Matiko SAYANSI ya anga za juu imepatwa na pigo la kuondokewa na mwanaanga JOHN YOUNG (87) wa Marekani, aliyefariki. Kwa mujibu wa msemaji wa Shirika la Anga za Juu la Marekani (NASA), Allord Beutel, Young alifariki kwa maradhi. John ambaye mwaka...
  5. Asclepius

    Wazee wa FPL tukutane hapa

    .
  6. Asclepius

    International relations and diplomacy degree

    Wakuu nilikua nataka kufahamu zaidi juu ya hiyo kozi kama kuna mtu anaifahamu kiundani ajira zake inakofundishwa na chichote kile
  7. Asclepius

    Msaada: Anataka kujiua

    Wakuu salamu, Kuna binti ni rafiki yangu anasoma IFM ila toka juzi naona ana dalili zote za kujiua status anazopost ukiongea nae yote hii ni kwa ajili ya kutaka kujiua naomba nijue nitamsaidia vipi au kama kuna therapeutic counselling specialist nawapata vipi? Nb: Sababu kuu ni kuachwa na...
  8. Asclepius

    Zuma revenge game free

    Husika na kichwa nahitaji zuma revenge game maana nimepata demo tu na nikijaribu kununua nashindwa
  9. Asclepius

    Hanitaki kisa siamini sina hofu ya Mungu

    Wanajamii, husika na kichwa hapo juu, Kuna binti toka nifike chuo tumekua tukipendana sana na tukiwa na miadi na malengo ya kuoana mara tu tumalizapo masomo. Tumekuja kutofautiana kitu kimoja yeye ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu na mimi ni mkristo lakini nisieamini uwepo wa Mungu shortly...
  10. Asclepius

    Housing ya laptop compaq...... Kioo na cover yake zinacheza cheza

    Wakuu msaada hapo kama kichwa kinavyojieleza pc yangu compaq ile monitor au screen inacheza cheza mpaka niiegemeshee mezani au ukutani asa nikafikir solution nipate housing au kama kuna solution lingine nitashukuru na kama n housing nitapata wapi na kwa gharama kiasi gani Natanguliza shukran
  11. Asclepius

    Kununua laptop mtandaoni ebay

    Wakuu nimekutana na hii laptop ebay mtandaoni ina specs nzuri mno kama core i7 hdd 1tb inauzwa kama usd 150 katika malipo imeonekana inatakiwa niwapatie kadi yangu ya benki pamoja na namba ya siri...... Hapo nimekwama kidogo naombeni uhakika juu ya hili suala na usalama wa pesa yangu maana...
  12. Asclepius

    Nafasi za kazi kwa wahitimu

    *Habari za wakati huu ndugu* *Kama upo maeneo ya DSM, MWANZA, MOSHI, ARUSHA, MBEYA, KIGOMA na Bukoba* *Na unahitaji PART TIME JOB YA WIKI.3 tuuh kwa Siku elfu.50 unalipwa bhas Tuendelee kumuomba Mungu azidi kutufungulia milango ya baraka..*.
  13. Asclepius

    INDONESIA: Watu wamuua na kumla Chatu baada ya kumshambulia mwanakijiji

    KULA NIKULE: Wananchi wa kijiji kimoja huko Indonesia, wamemgawana na kumla chatu mmoja aliyejaribu kumla mlinzi wa shamba la minazi. Awali mlinzi huyo alizidiwa nguvu na chatu huyo katika mapambano ambapo baada ya kelele za kuomba msaada wanakijiji wenzake walifika kumuokoa. Kwa hasira...
  14. Asclepius

    Mambo ya M. Pesa

    Mambo-ya-Pesa *Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu nikamwambia mi nakuja hapo kwa wakala nikifika karibu nitajifanya kama naongea na simu halafu we...
  15. Asclepius

    Rhohingya kuna nini????

    Katika pitapita zangu internet nimekutana na hii habari watu kuuawa huko rhohingya na kupelekea kukimbia makazi yao kuelekea bangladesh huku lawama zikitupwa kwa serikari ya myanamar na UN..... Nini hasa kinaendelea huko????
  16. Asclepius

    The bold unakumbukwa

    Husika na kichwa hapo juu the bold popote ulipo unakumbukwa sana kwa post zako zenye kuelimisha na kubuludisha pia kina D. B Cooper, Friday night robber,ule wizi wa almasi ufalansa ni baazi tu ya post zako zilizotuelimisha mnoo niffah fikisha ujumbe huu tafazali
  17. Asclepius

    The bold unakumbukwa

    Husika na kichwa hapo juu the bold popote ulipo unakumbukwa sana kwa post zako zenye kuelimisha na kubuludisha pia kina D. B Cooper, Friday night robber,ule wizi wa almasi ufalansa ni baazi tu ya post zako zilizotuelimisha mnoo niffah fikisha ujumbe huu tafazali
  18. Asclepius

    Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

    Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili naingia sasa mwaka wa kwanza wote napokea boom lakini sijaona cha maana chochote nilichofanyia na hiyo pesa sina msichana sina matumizi makubwa siendi club, wala sehemu zozote za starehe, nataka nikiingia mwaka wa pili niwe...
Back
Top Bottom