Moja ya IST za Makonda

Moja ya IST za Makonda

Asclepius

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
694
Reaction score
730
IMG_0824.JPG
 
Kuriko kununua ist bora ununue subaru impeza, inaswaga na iko kiume though inaendana kimuonrkano na ist
 
Wenye vile vi "duet" tuna comment wapi?
 
Wabongo bhana, mnajifanya mnahela mpaka unajiuliza huenda hamko Tanzania hii, wakat huo, mitaani huko kumejaa passo,vitz,

Hatuna hella ila kuna muonekano flan hv wa kike na kiume, ata watengenezaji magar huwa wanatengeneza aina flan hv za magar kutarget sex flan, ni kama BMW X6 ni gar la kike japo wanaume wananunua, Tesla model X ni ya kike ila wanaume wananunua, range evoque ni ya kike nayo, hujiulizi kwann wanawake wanapenda Harrier kuliko gar nyingine na kwann mwanaume ukiangalia Cruiser V8 au Ranger unaipenda, hujiuliz kwann kuna macover ya cm ya wanawake na kuna ya mwanaume
Its scientifically proven kuwa watu hupenda muonekano tofauttofaut kulingana na gender yko

We si ni mwanaume, mchukue mwanaume handsome af mpandikize kiungo cha kike uone ka utampenda au kumtaman, au kwann wanawake hawapendi wanaume waliokaa kikikekike na wenye maumbo ya kike, thats a fact, kataa au kubali huo ndo ukwel
 
Ukitaka ujue ubora wa hii kitu,uwe pale gerezani around saa 1700-1800pm unasubilia mwendokasi ya kimara, utagundua kauli ya yule dogo ni ya mtu mwenye kibri
 
Hizi gari sijui Vitz, passo, porte, IST, Allex, RunX..you name it, watu wamezinunua kukwepa kero za public transport especially Mwendokasi..
 
Wabongo bhana, mnajifanya mnahela mpaka unajiuliza huenda hamko Tanzania hii, wakat huo, mitaani huko kumejaa passo,vitz,
Mtu mwenyewe anashindwa kuandika neno "kuliko" unategemea nini?
 
Ushamba tu wa kuja mjini late; mbona mimi nina magari mengi ila mara nyingi natumia IST.
 
Back
Top Bottom