Search results

  1. Zero IQ

    Nipo naelekea mahakamani kwenda kutoa ushahidi, kipi cha kuzingatia?

    Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi. Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia. Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi. NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi...
  2. Zero IQ

    Maisha ni yako Mazishi ni yetu vijana tusichoke kuzichakata

    Eti kuna uzee, nani alisema utafika hatua ya kuzeeka, kula Nyama ingali meno ipo, Hapa ndio naamka nawaza je nitatoboa kweli kwenda sokoni kuchukua masaga ya pale kiwandani kwangu maana, Usiku kucha nimeshinda nachakata mbususu ya mtoto flani hivi wa pale CBE, Sijawai ona mtoto anaekata kama...
  3. Zero IQ

    Napendwa na dada poa ile kiukweli ukweli

    Ni binti mgeni tu aliamia kitaa chetu, sasa wakati anakuja hakuna aliyekuwa anajua kwamba ni dada poa yaani anauza, Sasa bwana Zero iq nikajitosaga kumfukuzia ili nimsajiri kwenye daftari la mtaa, Kweli demu alitiki na nilimenya mara kadhaa za chap chap tena buree kabisa bila hata mia. Sasa...
  4. Zero IQ

    Ndoto ya kuwa darasani au mazingira ya shule ina maana gani?

    Japo mrisho mpoto alikmbaga kwamba usimsimulie mtu Ndoto yako ya jana usiku lakini mi binafsi imenishinda imenibidi niisimulie tu, Ni hivi Nimekuwa nikiota mara nyingi sana, ni ndoto inayojirudia mara kwa mara, "Naota nikiwa mazingira ya shule ya sekondary nasoma tena ile shule niliyomalizia...
  5. Zero IQ

    Naogopa kupima UKIMWI kwa sababu ya msururu wa niliowachakata

    Kwanza niko na hofu kuu kwa sababu kuna bi mdashi flani nilimtafuna mwaka huu bila kujua chochote, bi mdashi mweupe pee tako ndio lililoniponza. Nilipata taarifa zake za ndani kwamba tayari kaukwaa kupitia kwa dada yake ambae nae ni bi mdashi alijilengesha kwangu bila kujua kwamba...
  6. Zero IQ

    Baba mkwe amekuja kwangu wakati anajua nina chumba na Sebule

    Ni ugeni wa ghafla tu umetokea hapa kwangu leo, baba mkwe amekuja kufanya kama suprise, bila taarifa wala nini na kusema ana mazungumzo na mimi. Kweli nimepokea wito ila chakushangaza mpaka sasa sioni dalili ya yeye kuondoka Niko naye hapa nawaza sehemu ya kumlaza ilihali anajua mimi niko tu...
  7. Zero IQ

    Dodoma imekisiri kwa ubakaji wa watoto lakini kesi zake haziripotowi kwenye media yeyote huishia polisi tu sijui ni nani yupo nyuma ya hili?

    Unaweza dhani hakuna serikari wala chombo chochote cha habari kinachojua kuhusu hili swala la ubakaji wa watoto jijini dodoma, Matukio ya ubakaji yamekuwa clonic kwa kifupi ni kama yamezoeleka na hakuna njia mbadala inayotumika kukomesha au kupunguza kabisa matukio haya, Maeneo ya kikuyu...
  8. Zero IQ

    Vijana msioe muinjoi maisha huku Ndoani kuna vimambo mambo vya Ajabu sana

    Kwanza niweke wazi mimi Binafsi Sijafunga Ndoa ila kuna mwanamke naishi nae yapata kama miaka 2 (Uchumba sugu), Ninayoyazungumza ni experience yangu tu binafsi yale ninayoyapitia hapa kwangu, Kwanza niseme wazi mi binafsi naishi na familia yangu kulingana na principle za baba yangu,nimecopy...
  9. Zero IQ

    Kisa 2000 ya marejesho nusu nimchakate asububi hii

    Ni kama story lakini ukweli ni kwamba nimetoka kuisamehe kuichakata Asubuhi hii hii kisa 2k (elfu mbili ya marejesho). Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi (anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko vyedi). Amenigongea gheto sa hivi anaomba nimuazime elfu mbili aongezee rejesho, Ana elfu 20...
  10. Zero IQ

    Nimetuma maombi Tamisemi, nimekwamia hapa

    Wakuu msaada wa haraka mwenye uwelewa, nimetuma maombi yangu kuanzia jana nimekwamia hapa kwenye kuchagua mkoa wa kupangiwa kazi. Kila nikiclick hapafunguki kunipa option ya kuchagua ni kama pamestack. Hatua zote nimemaliza asilimia 100 bado hapo tu ndio pananigomea. Nimeangaika usiku kucha...
  11. Zero IQ

    Kwa nini mgonjwa mahututi akiomba maji wanasema usimpe? Na maji ni uhai!

    Jamani wataalamu wa jamii forum naomba kujulishwa kuhusu hili swala, Kwa nini mgonjwa mahututi akiomba maji wanasema usimpe? Na wakati huo huo maji ni uhai! Nanukuu Yohana 19:28 “Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu.” Hata...
  12. Zero IQ

    Njia ya Chooni ipo kwake ila anapita kwangu

    Majaribu kila siku yananiandama mimi tu, nina wiki nimekimbia ninapokaa na kuacha kodi ya miezi 2 ikiendelela kisa mke wa mtu, Hapa nilipoamia sasa ni siku ya tatu kuna binti, mpangaji mwenzangu ameshaanza majaribu yake Njia ya kwenda chooni ipo kwake lakini lazima azunguke karibu na chumba...
  13. Zero IQ

    Nimechakata mke wa mtu, sasa ana mimba mimi nipo natanga tanga kama digi digi

    I remember those day when i was young, leo hii mimi zero iq nipo natanga tanga kama digi digi, Nawindwa kama mwewe kisa utelezi tu. Mke wake kajichanganya mwenyewe kutaka utamu mi ile kutia tu mbegu zikaota, Kijiwe changu cha kiepe sasa nakiona kichungu, muda wote nafatiliwa. "Lakini demu ana...
  14. Zero IQ

    Wanawake ni watu wa ajabu sana, jana kang'ang'ana kwenda kwao nimempa Nauli, leo anataka kurudi

    Nashindwa kuelewa mpaka sasa hizo Akili za hawa mbavu(maubavu) yetu ya kushoto"wanawake"huwa zinawaza nini. Huyu mwanamke wangu, wiki moja kabla ya x-mass, kuna shida ilitokea kwao nikampa nauli akaenda kwao, amekaa siku tano akageuka tukaja lia x- mass hapa home. Wiki hii ya mwaka mpya juzi...
  15. Zero IQ

    Nimeamka tu nimekutana na hii, ngoja nikafanye yangu

    Sina maelezo mengi ila sikutegemea kufanya chochote kwa siku ya leo kutokana na uchofu niliokuwa nao jana toka kazini, nilitaka nipumzike tu leo lakini tayari nimeshajaribiwa na naona kabisa shetani ameshinda. Kinachoniponza zaidi ni kwamba hali ya hewa ya leo dodoma sio Rafiki kabisa kwa walio...
  16. Zero IQ

    Kuanzia nibailojiane nae kila siku anataka

    Ni mtoto wa geti japo sio geti kali sana, ni hawa mabinti wanaojifanya slay queen kutwa uzungu uzungu na kujitik tok. Nilikutana nae maeneno yangu ya site hapa kiwandani kwangu, siku ya kwanza kumuomba namba akajifanya kunibinulia mdomo. Sikukata tamaa, nikamjengea mazoea mwisho wa siku...
  17. Zero IQ

    Nimechoka ila anataka, wakuu nipeni mbinu jinsi ya kuikwepa

    Leo nimeamka sina hili wala lile, kwanza nimechoka na kazi za hapa kiwandani kwangu, Nimechoka na uchakataji niliofanya jana usiku na mtoto wa diwani yaani niko tu bored, Ghafra kuna huyu demu wangu flani hivi nae kanicheki anataka nikamchakate sijui nifanyaje hapa, Nimekubali sawa japo kiroho...
  18. Zero IQ

    Kuna Muda natamani Kufa,nina Wivu naona kama waliokufa Wanafaidi

    Ebu we fikiria tu. --mtu amelala zake hawazi kuhusu kupumua --hawazi kuhusu kula --hawazi kuhusu pesa, kujenga wala familia --hawazi kuhusu nguo wala hana movement ya aina yeyote, Yeye muda wote yuko zake ametulia tuli, amejilalia anaota zake ndoto isiyoisha utamu. Na fikiria kuhusu sisi...
  19. Zero IQ

    Ni ngumu sana kuishi na mwanamke ambaye hatoi credit kwa mwanaume wake

    Unakuta mwanaume kabla ya kutoka nyumbani anaakikisha kila kitu kipo sawa, --Gas ya kupikia ipo --mchele upo --unga upo -- Mafuta ya kupikia yapo --viungo na basic need kwa ajiri ya mapishi vyote vipo. Licha ya kuwapo hivyo vyote vile vile hatoki bure lazima aache na kodi ya meza mezani inawez...
  20. Zero IQ

    Dada na mdogo mtu wananipenda kiasi kwamba nashindwa nifanye nini

    Kiukweli niseme wazi ya kwamba mimi ndio nilikosea mwanzo kwa sababu kwenye haya mahusiano yanayonitatiza kwa sasa, Nilianza na mdogo mtu, Ilikuwa hivi dada mtu alikuwa anakuja ofisni kila siku kununua viepe, kama mteja wangu wa uhakika kiukweli nilikuwa na namba yake kwa sababu ya delivery na...
Back
Top Bottom