Baba mkwe amekuja kwangu wakati anajua nina chumba na Sebule

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ni ugeni wa ghafla tu umetokea hapa kwangu leo, baba mkwe amekuja kufanya kama suprise, bila taarifa wala nini na kusema ana mazungumzo na mimi.

Kweli nimepokea wito ila chakushangaza mpaka sasa sioni dalili ya yeye kuondoka

Niko naye hapa nawaza sehemu ya kumlaza ilihali anajua mimi niko tu na chumba na sebule
Nimisema nikamlaze lodge siyo heshima na sijui pia atakuwepo kwa muda gani?

Wakuu nipeni mawazo
 
Ni ugeni wa ghafra tu umetokea hapa kwangu leo, baba mkwe amekuja kufanya kama suprise, bila taarifa wala nini na kusema ana mazungumzo na mimi,

Kweli nimepokea wito ila ch kushangaza mpaka sasa sioni dalili ya yeye kuondoka

Niko nae hapa nawaza sehemu ya kumlaza ilihali anajua mimi niko tu na chumba na sebure

Kaja kukushurtisha kujenga au kutafuta nyumba kubwa
Akiondoka anakuambia anarudi baada ya miezi 6🤣🤣🤣
 
Ni ugeni wa ghafra tu umetokea hapa kwangu leo, baba mkwe amekuja kufanya kama suprise, bila taarifa wala nini na kusema ana mazungumzo na mimi,

Kweli nimepokea wito ila ch kushangaza mpaka sasa sioni dalili ya yeye kuondoka

Niko nae hapa nawaza sehemu ya kumlaza ilihali anajua mimi niko tu na chumba na sebure
Nimisema nikamlaze lodge siyo heshima na sijui pia atakuwepo kwa muda gani?

Wakuu nipeni mawazo
Kazi unayo boya wewe, atakukula kiboga, basha huyo
 
Back
Top Bottom