Vijana msioe muinjoi maisha huku Ndoani kuna vimambo mambo vya Ajabu sana

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kwanza niweke wazi mimi Binafsi Sijafunga Ndoa ila kuna mwanamke naishi nae yapata kama miaka 2 (Uchumba sugu),

Ninayoyazungumza ni experience yangu tu binafsi yale ninayoyapitia hapa kwangu,

Kwanza niseme wazi mi binafsi naishi na familia yangu kulingana na principle za baba yangu,nimecopy and paste kila kitu.

Kabla ya kutoka maskani nahakikisha kila kitu kipo.
--- Mchele nanunuaga wa kutosha
--- unga wa kutosha
---maharage yapo ya kutosha,
--- dagaa zipo
--- mafuta ya kula dumu lita 3 au 5
---Gas ipo
---mkaa upo
--- Sabuni na nk

Yaani zile basic Need zote za nyumbani nahakikisha zipo then naacha hela ya mboga na akiba ndio naelekea mishe mishe zangu,

Hakuna siku ata moja kati ya hiyo miaka miwili niliyoishi na mchumba wangu nimewahi toka bila kuacha pesa mezani, ili hali najua sio kila siku hiyo hela nayoacha huwa inatumika,
Maana siku zingine tunakula mboga zilizopo ndani tayari kama dagaa au maharage.

Lakini bwana licha ya kufanya yote hayo yaliyo ndani ya uwezo wangu,
Kuna siku zingine tunaishi ndani kama simba na swala alafu kwa maswala ya kipumbavu kabisa,

Yaani mtu umerudi zako kutoka kazini umechoka unakuta mtu kanuna, unauliza hujala "amekula" kuna shida hamna, ni ameamua tu kununa mpaka inakela,

Ninavyowaambia haya nina wiki ya pili hii huyu manzi yangu ni amenunaga bila sababu mpaka najuta kumuweka ndani dadeki, ,
Yaani nikiamka nikisalimia kimya, vivyo hivyo ata nikirudi usiku( kwa Nature ya kazi yangu ya kiwandani hapa kuchakata viazi kuwa chipsi huwa natoka saa mbili Asubuhi narudi saa nne usiku) Nikisalimia nae kimya,

Ukimuuliza kuna shida yeyote kimya yeye ni kununa tu yaani kiasi kwamba kuna muda natamani nimtimue au nimrestore memory kwa vibao viwli vitatu sema tu sinaga hizo mambo,

Siyo mara ya kwanza kununa nuna bila sababu mpaka Anakera yaani,

Ila kikubwa ni kwamb mambo yote ndani anafanya Kufua, kupika na Nk.
Ata nikirudi maskani licha ya kununa kwake nakuta msosi uko tayari na maji ya kuoga ameshanitengea ila baada ya hapo hakuna kuongea wala kula mbususu, ( hiyo ya mbususu amenifanya mpaka nimemuagiza demu wangu wa mbali nimemuweka mahala mi kabla ya kwenda home nahakikisha naenda kuichakata nikifika home niko vyedi ni kulala tu ata simgusi wala kumsumbua nione atanuna mwisho lini?)

Yaani hichi kiumbe kimenichanganya kweli hivi unanuna tu bila sababu kweli? Unanuna tu!

Ndio maana nawaasa vijana ambao hamjaoa acheni kufikiria kuingia huko ndoani ni kuna vijimambo mambo vya ajabu sana.


Cc Zero IQ
 
Kwanza nikupe pole,unatumia muda mwingi kuwa busy hebu tenga muda kidogo kama wikiend nenda nae beach au ata matembezi, sio unamlisha maharage na dagaa kila siku yeye sio ngombe bn🤣🤣🤣🤣
mwanamke hufuati chakula ila mapenzi sasa wewe kazana kununua magunia ya dagaa utachapiwa mke ohohoho
 
Back
Top Bottom