Naogopa kupima UKIMWI kwa sababu ya msururu wa niliowachakata

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kwanza niko na hofu kuu kwa sababu kuna bi mdashi flani nilimtafuna mwaka huu bila kujua chochote, bi mdashi mweupe pee tako ndio lililoniponza.

Nilipata taarifa zake za ndani kwamba tayari kaukwaa kupitia kwa dada yake ambae nae ni bi mdashi alijilengesha kwangu bila kujua kwamba nilishamtafuna mdogo wake,

Siku tukiwa faragha ndio kumuuliza uliza akaniambia huyo mdogo wake tayari ameadhirika na anatumia vidonge,na yeye ndio mtu wake wa karibu anaemsindikiza na wakati mwingine kwenda kumchukulia dawa,
Moyo ulipiga paa nilivyosikia lakini nilipiga moyo konde nikapiga na kusepa.

Hivyo kama mdogo wake alinipa ukimwi basi ukimwi huo nimeuzungusha na kumpa dada yake kipenzi kama mi sikuupata basi ni kwa neema,

Ya pili kuna huyu demu katoka dar kuja dom kumbe muuzaji, mi kufika tu dom nikampokea tena kwa mapenzi mazito, licha ya kuwa anauza lakini hakuwai kuniomba ata mia, nimekuja kugundua ni too late, rafiki yake ndiye aliyeniambia kwamba ameungua ana miwaya,nikapiga chini.
,
Sijakoma tu nikapata demu mwingine wa makamo tu pisi kali hao masister do, nimechakata wee ata sielewi siku nipo mtaani na masela ndio nikaambiwa huyo demu tayari ana miwaya, na mshikaji wake wa kwanza tayari ameshasepa,

Ukitoa huyo kuna mademu wengine kama wanne hivi na wenyewe nimepita nao ata siwaamini amini, kwa sababu mwingine nilikuta dawa kabisa zimeandikwa zidovudine, nilivyomuuliza ni za nini akaniambia ni za anko wake ana shida ya kifua kikuu aiseee.

Serious mi zero niko salama kweli jamani

Nafikiria kuhusu hiki kiwanda changu cha kuchakata chipsi kuwa viazi kama nitakuwa nimeukwaa kitaendelea kufanya kazi yake kwa ufanisi?

Nina mawazo lakini naogopa kupima.

Cc Zero IQ
 
niliacha kupima kwa uwoga kama wako nikakosa kazi ya maana miaka 2 mbele kuja kupima niko fresh nililaani sana hofu

ilinikosesha kwenda j.k.t na ulikuwa ni mchongo, aliye enda sasa hivi ana nyota 1 mie nna kazi ya kuishabikia yanga mtaani tu hofu imenikosesha maisha ya maana.
 
niliacha kupima kwa uwoga kama wako nikakosa kazi ya maana miaka 2 mbele kuja kupima niko fresh nililaani sana hofu

ilinikosesha kwenda j.k.t na ulikuwa ni mchongo, aliye enda sasa hivi ana nyota 1 mie nna kazi ya kuishabikia yanga mtaani tu ***** hofu imenikosesha maisha ya maana.
Kwahyo JKT hawaendi waathirika?
 
Kwanza niko na hofu kuu kwa sababu kuna bi mdashi flani nilimtafuna mwaka huu bila kujua chochote, bi mdashi mweupe pee tako ndio lililoniponza...
Kwa historia yako tu ukiwa waeleza ukweli, basi wewe hupaswi kupima, nenda kaanze dozi moja kwa moja. Usiharibu vipimo vya watu bure.

Nenda kapime ukiwa tu

1. Wewe ni one minute man (Hufanyi mapenzi kwa muda mrefu, yaani chini ya dakika 5 umemaliza),
NB. Kama wafanya tendo muda mrefu basi hakikisha
2. Ulitumia vilainishi wakati wa tendo
3. Ulitumia kinga wakati wa tendo.

VINGINEVYO NENDA KAJIANDIKISHE ANZA DOZI MARA MOJA.
 
niliacha kupima kwa uwoga kama wako nikakosa kazi ya maana miaka 2 mbele kuja kupima niko fresh nililaani sana hofu

ilinikosesha kwenda j.k.t na ulikuwa ni mchongo, aliye enda sasa hivi ana nyota 1 mie nna kazi ya kuishabikia yanga mtaani tu ***** hofu imenikosesha maisha ya maana.
Naogopa mkuu, maana chimbo nikizopita nyingi ni za moto
 
Tatizl genye na hizo Chura zao mkuu
Vuta kitu ndani cha chaguo la moyo na akili,achana na vyura,sura ,maneno,sauti,ushawishi na vingine,kwani vipo vingi vya bandia ikiwa ni hata na tabia,imani na vingine ilimradi unaondoa 18 za mwenye malengo yake,bila kujali hata kuthamini unacho hitaji.

Kwa ujumla maisha ni imani iliyo sahihi ndani ya moyo wako, uthabiti wa kile unacho amini bila kuigiza maisha ya mwingine,ila unavyoamini na yele uliyeamina na kuhakikisha mnaenda na kimtazamo na malengo katika maisha🤔
 
Back
Top Bottom