Nimechoka ila anataka, wakuu nipeni mbinu jinsi ya kuikwepa

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Leo nimeamka sina hili wala lile, kwanza nimechoka na kazi za hapa kiwandani kwangu,
Nimechoka na uchakataji niliofanya jana usiku na mtoto wa diwani yaani niko tu bored,

Ghafra kuna huyu demu wangu flani hivi nae kanicheki anataka nikamchakate sijui nifanyaje hapa,

Nimekubali sawa japo kiroho upande lakini mwili na nafsi havitaki kabisa,
Nimechoka kuichakata, wiki ya pili hii sijapumzika kila siku nazitafuna,

Hapa nipo nawaza jinsi gani ya kumkimbia huyu binti nimechokaa.
Wakuu nimekuja kwenu nipeni mbinu jinsi ya kuikwepa.

Screenshot_20221130-121312_2.jpg

Cc Zero IQ
 
View attachment 2431559

Cc Zero IQ
Pata dharula.....mwambie ratiba zimeingiliana kuna shughuli unaitmfanya...mpange siku nyingine

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hii kwa sie black ni sawa na Jeff Benzos ama Steve John alivyo invent 🍎.
Yaani bana sie kelele nyingi,ndege like jogoo,ama wanyama wanayafanya mno na zaidi Ila huwasikii wakichonga ama kujifagilia ndio tofauti yetu. Na ng'ombe naye aongee kuwa ameombwa kupelekewa Moto,na chui naye aseme kuwa akafurahia kupelekewa Moto,

Binadamu tofauti na wanyama ni kuchonga ama kutaka sifa Basi,mfano Simba akiua nyati huoni akijisifu mbele ya wenzake hata siku moja anakuwa calm and cool.

Ndege wanajenga makazi wanaishi,wanatafutiwa chakula watt wao Ila huwasikii wanajisifia. Yaani hayo Ni maisha ya kawaida kwa binadamu Ni sawa unavyokula ama kutembea ,kulala huwezi jisifia kulala,kula,kuzaa,kufaki,kuongea,kukutafutia chakula,kuvaa is part of us.

Sorry bana najua sijaendana na beliefs zako najua hutojisikia furaha sema ningekubaliana na mawazo yako ungenifurahia mno kwa likes Mia.

Mana Uzi wa kula mbususu humu ndio una wadau wengi inadhihirisha Ile kauli ya Trump kuwa Africans are good at sex,music and luxury.
Ila Black hatuna hata innovation moja ya dunia ambayo imevumbuliwa na blacks jamani.
 
Pata dharula.....mwambie ratiba zimeingiliana kuna shughuli unaitmfanya...mpange siku nyingine

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ujinga ni nn?

Ujinga ni pale Utakuwa umeamua kujipa dharula ya shughuli kuingiliana na yeye kuamua kumpelekea mbususu jamaa aliekuwa ameBet na ww (kumbuka umeombwa wewe)
Hata wao wanafanya kubet kama ww unavyokuwa unawahitaji.
Unatupa ndoana mbili au tatu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Leo nimeamka sina hili wala lile, kwanza nimechoka na kazi za hapa kiwandani kwangu,
Nimechoka na uchakataji niliofanya jana usiku na mtoto wa diwani yaani niko tu bored,

Ghafra kuna huyu demu wangu flani hivi nae kanicheki anataka nikamchakate sijui nifanyaje hapa,

Nimekubali sawa japo kiroho upande lakini mwili na nafsi havitaki kabisa,
Nimechoka kuichakata, wiki ya pili hii sijapumzika kila siku nazitafuna,

Hapa nipo nawaza jinsi gani ya kumkimbia huyu binti nimechokaa.
Wakuu nimekuja kwenu nipeni mbinu jinsi ya kuikwepa.

View attachment 2431559

Cc Zero IQ
Mimi sijachoka mkuu.. Nirushie Namba dm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom