Hivi mpaka mtoe matusi kwenye discussions? Hivi Serikali ikifungia hizi Forum sababu ya matusi au lugha chafu mtasema mnaonewa? Jadilini hoja kama huna huja usichangie kuliko kutoa matusi. Pia jamii Forum kwa nini mnachapa topic za matusi hamjui kwamba mna jitia kitanzini wenyewe?
Sent using...
Hizo nyumbaza NHC wanazo kaa wahindi previously zilijengwa na wahindi, muda mrefu hata kabla ya Uhuru wetu. Baada ya uhuruwetu zilitaifishwa na kupewa NHC. Hii inamaana Kwamba kipaumbele chao kilikuwa kujenga.hoja yako haina msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Yuko kwenye matibabu Ulaya au kwenye ziara za kuisagia nchi yake? Si arudi aje kuisaidia Chadema inazidi kumong'onyoka.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu anatibiwa au ameamua kuzurura kujitafutia kiki ya dunia?busara ingekuwa amalize tiba yake, arudi nyumbani watu wampe pole zake, asaidie pia polisi kutoa ushahidi wake, halafu ajipange sasa rasmi na Chama chake na wampe agenda ya kuzungumza akiwa huko. Huo ungekuwa in utratibu mzuri...
Haji Manara anakosa diplomasia/busara katika kuitumikia nafasi yake. Ana maneno ya chuki na majigambo. Hizo si sifa za msemaji mkuu wa Taasisi. Hatakiwi kuanzisha "attack"/confrontations" kwenye vyombo vingine, anadhalilisha cheo chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mabilion yanamfuata hapa nyumbani kutoka kwa mamilionea na nchi kuu mbalimbali kumsifu kwa kuendesha nchi vizuri kuliko hata hizo nchi zenye exposure nyingi , what else do you need,aende for Tourism? Tayari anawakilishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ambao wanajisikia vizuri mambo yetu ya maendeleo kukwama? Na kuyafanya kichekesho na kebehi? Mbona yanapo mwagwa mapesa nama mabilionea nchini hatuwi Wa kwanza kusifu Sera nzuri ziliopo? Tunaitkia nchi hii mabaya tu?' "What a shame"!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.