Search results

  1. Dindira

    Gharama za DStv Bomba

    Wakuu, waungwana na waheshimiwa. Hebu nijuzeni gharama ya kifurushi cha DStv bomba. Natanguliza shukran
  2. Dindira

    TOP STORIES Msimamo wa CCM juu ya ishu ya Membe na Dk. Bashiru “chuki, uhasama” vyatajwa

    Waliitana kwenye mitandao kwanini hawakupigiana simu kimya kimya
  3. Dindira

    Wanahabari wa TBC wanafundishiwa chuo gani

    Sabah Al Kher waungwana. Hivi waandishi wa habari waTBC wanatokea chuo gani ? au wanachukuliwa toka mitaani bila kupitia kozi yoyote. Tafadhali nijuzeni haiwezekani taasisi nzima haina hata mtu mmoja mbunifu.Au wamespeshalaizi kuwaudhi watizamaji ? Mbona mtu ukiangalia tiivii za Kenya. Uganda au...
  4. Dindira

    KKKT Jimbo la Magharibi kuna tatizo...

    Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chakula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno anamuachia mwinjilisti na parish waka. Siku hizi ma parish waka hawafanyi kazi zao za sunday school...
  5. Dindira

    KKKT WACHUNGAJI WANAKAZI GANI

    Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chskula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno anamuachia mwinjilisti na parish waka. Siku hizi ma parish waka hawafanyi kazi zao za sunday school...
  6. Dindira

    Vodacom masaa 20 sasa hatuwezi kununua Umeme

    Hebu Vodacom tujuzeni kulikoni tangu jana tumenunua LUKU mpaka leo asubuhi hakuna token wala neno lolote. Tumrlipia huduma mbali mbali hela mmekata lakini haifiki kunakohusika. Kwanini mhamishe/mkate pesa kama mnajua hazitafika sehemu husika ? Tunaomba majibu ya kuridhisha. Kumbuka safari hii...
  7. Dindira

    Makonda ana kosa la kujinu

    Kwanza alidanganya kwamba aliingiza mzigo wenye vifaa vya shule kumbe ndani kuna matrekta na mashine za kunyunyizia dawa shambani. Hivi sio vifaa vya walimu wa Dar es Salaam. Pili.. Yeye kama mtumishi wa umma hapashwi kupokea zawadi binafsi. Hiyo itakua ni rushwa haina jina jingine. Ukipewa...
  8. Dindira

    Makonda ana kosa la kujibu

    Kwanza alidanganya kwamba aliingiza mzigo wenye vifaa vya shule kumbe ndani kuna matrekta na mashine za kunyunyizia dawa shambani. Hivi sio vifaa vya walimu wa Dar es Salaam. Pili.. Yeye kama mtumishi wa umma hapashwi kupokea zawadi binafsi. Hiyo itakua ni rushwa haina jina jingine. Ukipewa...
  9. Dindira

    Mfungo wa Ramadhan

    Jamani mfungo wa ramadhani utaanza lini ?
  10. Dindira

    Nimegundua kuwa Mwanaume haiwezekani kuishi bila ya nyumba ndogo

    Kitu nilichogundua ni kwamba kwa mwanaume wa Kitanzania kukaa bila mchepuko au nyumba ndogo haiwezekani nyumba kubwa ukiwahi kufika nyumbani kero ukichelewa Kero ukiomba mchezo nimechoka au tumbo linaniuma au subiri halafu mnaishi kwa mazoea mno.
  11. Dindira

    Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

    Wapendwa. Tujihadhari sana tuingiapo gesti na vimada. Kuna gesti Dar zina cctv. Ukiingia tu na kuanza mchezo wako mhudumu anawaita rafiki zake wakuone unavyofanya huku wakikurekodi. Inasikitisha sana kuona wengi tuliowashuhudia kwenye hizi cctv wanafanya mambo ya ajabu sana. Kulambana sehemu za...
  12. Dindira

    Naiomba Serikali ipige marufuku mifuko ya Plastiki hasa hii myeusi

    Naiomba serikali kama kweli ina nia nzuri ya kuhifadhi mazingira. Ipige marufuku mifuko myeusi ya rambo. Rwanda. Kenya na Zanzibar wameweza. Tushindwe sisi tunanini ? Kila mmoja wetu atakubali kwamba Zanzibar sasa kunapendeza. Njoo huku Buguruni. Vingunguti. Tabata hali inatisha
  13. Dindira

    Kutuma hela kwa mpesa. Do it at your own risk

    Siku sita zilizopita nilimtumia mwanangu Tsh 100,000 Mpesa i.e vodacom kwenda tigo. Ile hela haikwenda ila nilipata ujumbe niende kwa wakala wa vodacom. Wakala aliniambia hela ime hang na itarudishwa baada ya 72 hrs. Baada ya siku tatu nilirudi kwa wakala kumuuliza akasema vodacom bado...
  14. Dindira

    Tatizo la maji Kibaha

    Leo ni siku ya tano hatupati maji. Luhemeja and team tatizo ni nini ? Wake up
  15. Dindira

    Kamari na bodaboda haya yasipoangaliwa yataliangamiza taifa letu

    Haya mambo yasipokua regulated vzr yataleta madhara baadae. Kubet na kamari. Kila kichochoro cha Dar utakuta kibanda cha kamari au kubeti. Bodaboda nao wasipoangaliwa. Hii tabia yao ya kujichukilia sheria mikononi itatupeleka pabaya..
  16. Dindira

    Nahisi menejimenti ya UDART imebadilika

    Leo magari ya UDART yalikuja kwa wakati na kwa wingi kiasi kwamba japo tulijaa lakini sio kama siku za nyuma. Nahisi kuna mabadiliko kwenye uongozi.
  17. Dindira

    Prof. Muhongo achia ngazi umeshindwa kuleta huduma ya umeme

    Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji anayeweza kwenda na kasi ya hapa kazi tu.
  18. Dindira

    Muhongo achia ngazi umeshindwa kuleta huduma ya umeme

    Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji anayeweza na kasi ya hapa Nazi tu.
  19. Dindira

    NEMC na marufuku ya plastic bags, mbona zinazidi?

    Pamoja na kuwa NEMC wamekuwa wakipiga marufuku mifuko ya plastic lakini bado imekuwa ikizagaa hovyo mitaani. NEMC naomba mlifanyie kazi suala hili maana mazingira yanazidi kuchafuka. Mbona plastic bags zinazidi kuongezeka?
  20. Dindira

    Kamishna wa maadili ya viongozi

    Huyu mheshimiwa kamishna wa kkusimamia maadili ya viongozi kkazi zake ni zipi ? Alishawahi kumuadibisha kiongozi yoyote ? Mbona TRA na Mainginia wa TANROADS wanapiga dili na wachina ?
Back
Top Bottom