Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,469
Hebu Vodacom tujuzeni kulikoni tangu jana tumenunua LUKU mpaka leo asubuhi hakuna token wala neno lolote. Tumrlipia huduma mbali mbali hela mmekata lakini haifiki kunakohusika. Kwanini mhamishe/mkate pesa kama mnajua hazitafika sehemu husika ?
Tunaomba majibu ya kuridhisha. Kumbuka safari hii nikihama hamnioni tena.
Tunaomba majibu ya kuridhisha. Kumbuka safari hii nikihama hamnioni tena.