Mradi wa kuzikusanya na kuzi- recycle umeishaanza.Mbona plastic bags zinazidi kuongezeka
Walitoa grace period ya mwaka mmojaMbona plastic bags zinazidi kuongezeka
Magufuri anataka viwanda viongezeke, unataka wao wavipunguze. Kuna kiwanda wanatengeza hiyo mifuko hapa hapa Tz.Pamoja na kuwa NEMC wamekuwa wakipiga marufuku mifuko ya plastic lakini bado imekuwa ikizagaa hovyo mitaani.
NEMC naomba mlifanyie kazi suala hili maana mazingira yanazidi kuchafuka.
Mbona plastic bags zinazidi kuongezeka?