Search results

  1. N

    Ushauri wa kifamilia/kijamii

    Naamini hamjambo. Naomba tushauriane juu ya hili swala linalohusu familia zetu. Kama tujuavyo katika mahusiano migongano haikosekani. Mingine hata kuitatua Ni vigumu sana, hata hivyo kama muwazazi ni muhimu sana kuwaweka mbali watoto wetu na migongano yetu. Si unajua tena wakati mwingine ni...
  2. N

    Uchumi wa kati siyo rafiki wa uchuuzi

    Mko bomba bandugu? Kama mjuavyo Tena mwali kakua, hayawihayawi yamekuwa. Tuko kwenye uchumi wa kati sasa Asante Mungu. Kwa heshma naomba tu kuwakumbusha kuwa hapa tulipo syo tena 'kuchuuza' friendly, zile mingo zetu pendwa za kununua kitu nguo Kariakoo na kutembeza Mwananyamala hazilipi. Uchumi...
  3. N

    Kupenda mtu ni ghali ila kuchukia mtu ni ghali zaidi

    Ukimpenda mtu unatamani akupende pia lakini vipi kama yeye hakupendi! Unamshawishi na hapo unafiki unaanza. Ukimchukia mtu unatamani wote wamchuke, unazungumzia vibaya mpaka unaonekana fala tu. Yaani upendo na chuki havifichiki kirahisi. Njia salama ya kulinda amani na heshima yako ni kuwa kati...
  4. N

    Baharia, mwache aende zake tu

    Usimvurugie mipango Kama umekutana nae mjini ,mwache aende. Isipokuwa unajovika jukumu la kumsaidia kufikia ndoto yake,achana nae tu. Anaweza kuwa mrembo sana anavutia mno lakini kama bado ana hustle kufanikisha ndoto zake achana nae. Tuelewane mabaharia wazuri hawaishi. Utapata mwingine huyu...
  5. N

    Sijui nimekosea wapi!

    Mimi na mama Jailos tumeishi miaka kadhaa, tumejaliwa watoto wawili tu Jay na dada yake Jannie. Nimestaafu mwaka jana nikiwa na nyumba moja ninayoishi na kibanda kilichoko Kisiju katika shamba la mikorosho. Sisi ni washika dini sana na Mimi ni mzee wa kanisa hapa mjini ninapoabudu wakati mama...
  6. N

    Usiogope, usiogope hawakujui

    Wengi wakijifanya wanakujua sana usiogope, watazameeee Kisha sema hiiiiii! Unajua nini bro hata mama yako kakuzaa tu ila hakujui kivile, sembuse washikaji wa kwenye kijiwe cha bodaboda/kahawa! Endelea na Mingo zako bana hawakujui Tena wasikutishe kabisa kwanza hata wewe mwenyewe hujijui Kama...
  7. N

    Wale wazee wa period hebu tupeane somo la kiroho hapa

    Mithali 4:1, Yohana 1:1_3 Hapo kuna mantiki ya kusikiliza, neno hunenwa ili lisikilizwe, neno huleta maarifa hekima na ufahamu. Hata neno baya Lina faida lisikilize tu hata likisemwa na mwehu lisikilize na ulitafakari. Katika kusikia utajua nia ya mtu mwema au mwovu, mwenye kejeli au lawama...
  8. N

    Ila social ethics za Kibongo nimezivulia kofia

    Maisha yetu yana raha isiyopatikana popote duniani, sema ni vile tu mabeberu hayatakagi kutuelewa. Tunastahili kuongezeka kuwa ajabu la dunia aisee. Huku Buza unaweza kuacha mke kisa washkaji hawajaridhika nae tu, achilia mbali mawifi na wakwe. Huku kwetu shabiki wa mpira anayo mamlaka kamili...
  9. N

    Wanna tuache ubishi,Kuna mahali tumekosea.

    Haiwezezekani mafuriko,magonjwa,njaa, ukosefu wa ajira vyote vitupige..... Natamani mheshimiwa atuongezee siku za maombi Kama yale ya mussa huko mlima Sinai. NB mkiufuta pia fresh tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    Sijui kwanini sikusomea ualimu

    Ndiyo hivyo yaani. I wish I were a teacher. Si mnaona sasa hii kitonga ya siku thelathini inavyonipita kifala tu yaani. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Hakuna furaha timilifu duniani

    Hello, Tusimame na hili neno: "Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi, nazo zimehesabiwa kwa hesabu ya miezi yake, na hizi siku zake kidogo zimejaa taabu" Kila kitu kina maumivu yake. Hakuna furaha timilifu duniani. Ukiwa tajiri maadui ni wengi sana Ukiwa dhalili...
  12. N

    Enyi waja

    Waja hamjambo? Habari ya jumapili waja. Enyi waja, enyi waja! mjuao kila jambo litendekalo chini ya jua, mbona hamkuijua siku ya kuzaliwa kwenu? Hata siku ya mauti yenu hamuijui waja. Mnazijua aibu na fedheha za kila mtu na hufurahia kuzitangaza huku mkizisitiri za kwenu. Enyi waja mumuabuduo...
  13. N

    Kijiji cha mfano

    Najaribu kuwaza tu. Mfano akatokea kiongozi mmoja mwenye akili kama mimi akaanzisha Kijiji cha mfano labda Kisarawe huko. Kiwe na shule ya msingi na sekondari. Kiwe na soko na maduka ya bidhaa muhimu,kiwe na msikiti na kanisa . Mwisho kiwe na ukumbi wa mikutano. Kila mkazi awe na 50 square...
  14. N

    Miaka kumi ijayo,tusafiri pamoja

    Karibuni kwenye hii safari. Huo utakuwa ni mwaka 2030.na dunia itakuwa hivi, Mti wowote ule utakuwa ni kivutio Cha utalii. Wavulana waliooa wabibi watakuwa ni 75% Hakutakuwa na bikra mwenye miaka 10. Watu wenye elimu ya PhD watachoma mahindi mtaani,nayo yatakuwa mali adimu Wataoa asubuhi na...
  15. N

    Hivi unadhani kuna athari gani zilitokea?

    Wakuu nimekaa nawaza kuhusu kuondoka kwa wayahudi Misri kuliacha athari gani kijamii na kiuchumi huko Misri. Sote tunajua walikuwa ni watumwa,walifyatua matofali na kujenga mapiramidi. Sasa wanapoondoka huko wanaendelea kutuelezea tu safari yao jangwani mpaka kaanan. Lakini je huko walipotoka...
  16. N

    Kama vipi tembelea 'swagger' zake

    Mambo vipi waheshimiwa. Mabaharia wangu si mnajua vile unakuwa unasumbuliwa sana na wife/demu home. Mara hivi mara vile, ugomvi kidogo anatishia kukuacha. Sasa akileta habari hizo wewe jitoe ufahamu siku moja umwambie unamuacha wewe. Utanishukuru baadaye! Kwa nini ukubali kuachwa? Ukipigwa...
  17. N

    Jifunze kulinda hisia za wanaokuzunguka hasa wale unaowapenda

    Hamjambo wandugu, Mada yangu yaleo ni hiyo hapo juu. Kuna wakati unaweza kuwaumiza Sana watu wako wa thamani kwa sababu tu ya mambo uliyoyafanya huku ukishangiliwa na watu wasiokuwa na thamani kwako. Mfano unapoongoza mgomo chuoni kwa sababu za msingi au zisizo za msingi, unaonekana shujaa...
  18. N

    Hii ndoto ina maana gani ndugu zangu

    Salaam. Aisee nimeota ndoto inanitatiza. Niliiona ninazikwa kaburini na kufukiwa kabisa. Halafu nikainuka na kusimama juu ya kaburi langu nakucheka sana huku aliyenizika anatimua mbio. Nikalala tena nikaota nalishwa vitu sivijui, nikavitema vyote na kutapika sana, niliposhtuka nikawa na...
  19. N

    Ukweli unaanza na wewe mwenyewe.

    Heri ya mwaka mpya. Hakuna mtu anayependa uongo jamani hapa tusidanganyane..kila mtu anapenda ukweli. Iwe kwenye biashara, mapenzi ,siasa au popote pale. Ukweli ni muhimu. Tatizo ni pale unapotaka kuambiwa ukweli ambao hupendi kujiambia. Tuanze mwaka kwa kujiambia ukweli. Ukishindwa sema...
  20. N

    Kikao cha mabaharia

    Tahadhari kabla ya ajali, Hizi mambo za kujifanya mna mapenzi sana mpaka mnaua watoto wa watu ziishie hapa 2019. Tumechoka kuja kuwaona gerezani. Tunakumbushana tena usisomeshe mwanamke. Kama baba yake hakumsomesha wewe ni nani! Acha ujinga umemtamani bila elimu ishi naye hivyo hivyo.
Back
Top Bottom