Wale wazee wa period hebu tupeane somo la kiroho hapa

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Mithali 4:1, Yohana 1:1_3

Hapo kuna mantiki ya kusikiliza, neno hunenwa ili lisikilizwe, neno huleta maarifa hekima na ufahamu. Hata neno baya Lina faida lisikilize tu hata likisemwa na mwehu lisikilize na ulitafakari.

Katika kusikia utajua nia ya mtu mwema au mwovu, mwenye kejeli au lawama. Hata anaekunanga msikilize tu. Siyo unalipuka tu eti "shutup" ,"period" utamisi mengi, hasa katika dunia hii ya wanafkinafki.

Wewe tega sikio tu.

Mungu awe nanyi.
Amina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom