Wanna tuache ubishi,Kuna mahali tumekosea.

Yani Mada nzuri kweli
Umeitia nuksi hap ulipo mtaja huy mheshimiwa wako. Umekera kweli

I'm on that good kush and alcohol
 
Haiwezezekani mafuriko,magonjwa,njaa, ukosefu wa ajira vyote vitupige.....
Natamani mheshimiwa atuongezee siku za maombi Kama yale ya mussa huko mlima Sinai.
NB mkiufuta pia fresh tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli maovu yamevuka mipaka. Watu wanazini huku wanajirikodi wakati hio ni kazi ya Malaika. Video za uchi zinazagaa kama njugu. Imefikia hatua watu walikua wanarusha mpaka video za kishoga.

Kwa kweli binaadamu tumevuka mipaka tumekua kama wanyama. Ee Mungu watu utusamehe kwani hakika weww ni mwingi wa kurehemu.
 
Labda damu zilizomwagika za ambao hawakua na hatia zinatuhukumu. Kuanzia za Maalbino, kule Kibiti na wengineo. Tunahitajika kutubu otherwise tunaangamia tukiangalia hivi hivi.
 
Walizoea kutibiwa sijui India,mara South Africa, walisahau kuimarisha hospitali zetu.

Sasa wote tunabanana hapa hapa na fusho la kujifukiza kwa nyungu.

Ukikosea ndiyo hivyo tena mazishi ya watu 10.
 
Ni kweli maovu yamevuka mipaka. Watu wanazini huku wanajirikodi wakati hio ni kazi ya Malaika. Video za uchi zinazagaa kama njugu. Imefikia hatua watu walikua wanarusha mpaka video za kishoga.

Kwa kweli binaadamu tumevuka mipaka tumekua kama wanyama. Ee Mungu watu utusamehe kwani hakika weww ni mwingi wa kurehemu.
Yuwapi Rutu wa sodoma hii sijui....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tulikosea mahali kwenda kununua yale madege ya Mabilioni, vipi ile pesa tungewekeza kwenye huduma za Afya.

Leo barakoa zimekuwa za msaada, vifaa tiba kama vipumuzi ndiyo usiseme sijui nchi nzima vipo vingapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom