Ila social ethics za Kibongo nimezivulia kofia

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Maisha yetu yana raha isiyopatikana popote duniani, sema ni vile tu mabeberu hayatakagi kutuelewa. Tunastahili kuongezeka kuwa ajabu la dunia aisee.

Huku Buza unaweza kuacha mke kisa washkaji hawajaridhika nae tu, achilia mbali mawifi na wakwe.

Huku kwetu shabiki wa mpira anayo mamlaka kamili kumfukuzisha kazi kocha wa timu yoyote ile ya mpira.

Ukizeeka inatakiwa kusali tu huku ukijiandaa kufa kinyume na hapo jamii haikuelewi.

Yaani huku bongoland kila ishu ni ya kijamii, ukiajiriwa kazini lazima tujue kama una mke na watoto wangapi Tena tujue unapoishi, pungufu ya hapo unaroho mbaya.

Lakini usichanganye mambo! Siyo kwamba tunapenda a sana hapana tunataka kujua tu. Bongo kiboko.

Kila mmoja ni dokta, mwanasheria na ni mshauri mbobevu wa maisha yako, kuwa mwangalifu hii ni nchi ya ujamaa na kujitegemea.

Mchango wa harusi unaweza kuharibu kabisa urafiki au udugu. Na hii ndiyo Bongo. Nchi iliyoishinda korona.
 
Maisha yetu Yana raha isiyopatikana popote duniani ,sema ni vile tu mabeberu hayatakagi kutuelewa..tunastahili kuongezeka kuwa ajabu la dunia aisee.
Huku buza unaweza kuacha mke kisa washkaji hawajaridhika nae tu,achilia mbali mawifi na wakwe.
Huku kwetu shabiki wa mpira anayo mamlaka kamili kumfukuzisha kazi kocha wa timu yoyote ile ya mpira.
Ukizeeka inatakiwa kusali tu huku ukijiandaa kufa kinyume na hapo jamii haikuelewi.
Yaani huku bongoland kila ishu ni ya kijamii,ukiajiriwa kazini lazima tujue kama una mke na watoto wangapi Tena tujue unapoishi, pungufu ya hapo unaroho mbaya.
Lakini usichanganye mambo !!! siyo kwamba tunapenda a sana hapana tunataka kujua tu.
Bongo kiboko.
Kila mmoja ni dokta,mwanasheria na ni mshauri mbobevu wa maisha yako,kuwa mwangalifu hii ni nchi ya ujamaa na kujitegemea.
Mchango wa harusi unaweza kuharibu kabisa urafiki au udugu. Na hii ndiyo bongo. Nchi iliyoishinda korona.
Bongoland kila mtu ana mchongo anausikilizia

Bongoland ma uncle wote wanafanya kazi NECTA

Bongoland mtu mrefu na mwenye mwili huwa wanafanya kazi za usalama wa taifa

Tisa kumi hawa vioo vyetu vya jamii, ni vituko kuliko sisi watazamaji, kila msanii ana gari na anamaisha mazuri, lakin bahatika kujua ukweli maisha yao utatamni kucheka au kulia

Bongoland ukiwa na kazi, unaambiwa una ringa, usipokuwa na kazi wanakwambia wewe ni mvivu
 
Bongo usipendeze kama unadeni lipa kwanza, vinginevyo utajikuta insta.
 
Eeeh nilitaka kusahau aisee,bongo bwanaaaaa ukifanya kazi tunakutazama tu ila ukitoboa ughafla unakuwa Freemason na kafara yako tunaijua...marufuku ndugu kufa umemtoa kafara.
 
Bongo mtu akiajiriwa katika kapuni hawazii mshahara anawazia kumuibia muajiri. Bongo fundi ukimpa kazi bila ya kumsimamia anakupiga dili.bongo mtu anakuja kuomba kazi mpole ukimpa kazi tu wanaanza kuimba (tunataka haki zetu)bongo 97%wanavaa mitumba wanaume jeans kafa mzunggu.bongo msaidie mtu anakugeuka anakuwa adui.bongo matajiri wengi na watu waliojenga nyumba za kifahari pesa zao za haramu.bongo wanawake malaya sana na wanapenda pesa hawana mapenzi ya dhati.bongo kudhulumiana ni jambo la kawaida
 
Maisha yetu yana raha isiyopatikana popote duniani, sema ni vile tu mabeberu hayatakagi kutuelewa. Tunastahili kuongezeka kuwa ajabu la dunia aisee.

Huku Buza unaweza kuacha mke kisa washkaji hawajaridhika nae tu, achilia mbali mawifi na wakwe.

Huku kwetu shabiki wa mpira anayo mamlaka kamili kumfukuzisha kazi kocha wa timu yoyote ile ya mpira.

Ukizeeka inatakiwa kusali tu huku ukijiandaa kufa kinyume na hapo jamii haikuelewi.

Yaani huku bongoland kila ishu ni ya kijamii, ukiajiriwa kazini lazima tujue kama una mke na watoto wangapi Tena tujue unapoishi, pungufu ya hapo unaroho mbaya.

Lakini usichanganye mambo! Siyo kwamba tunapenda a sana hapana tunataka kujua tu. Bongo kiboko.

Kila mmoja ni dokta, mwanasheria na ni mshauri mbobevu wa maisha yako, kuwa mwangalifu hii ni nchi ya ujamaa na kujitegemea.

Mchango wa harusi unaweza kuharibu kabisa urafiki au udugu. Na hii ndiyo Bongo. Nchi iliyoishinda korona.
Mijadala ya bunge la Tanzania ningeweza kusema ni kama ya wavuta bangi.

Lakini, nikisema hivyo naweza kuwa ninawavunjia heshima wavuta bangi kwa kuwafananisha na wabunge.
 
Korona inakuja kwetu kwa ndege tunaidharau mpaka inaondoka kwa bodaboda tu. Wabongo ni wagumu mno..ukilea mtoto wako ni kwa sababu unamtaka sana mama yake.
 
Back
Top Bottom