Search results

  1. Mashaurijr

    Mtoto wangu ana baba wawili

    Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake nilikutana kimwili na mwanamke ambaye tulikuwa na mahusiano kitambo . Baada ya kumaliza yaliyonileta dar...
  2. Mashaurijr

    Magodoro aina zote yapo kwa bei ya punguzo

    Tupigie 0717758409 . Tunakuletea mpaka nyumbani kwa Dar es salaam na kibaha.
  3. Mashaurijr

    Maisha ya uzeeni bila hela ni tabu sana

    Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba. Ujue bora akusalimie tu shkamoo Hapo ujue bado upo Ila akimalizia tu . Una hali mbaya. Sitaki uzee aisee ngoja nitafute hela
  4. Mashaurijr

    Ushawahi kuingiwa na hofu na huzuni usiyojua inatokana na nini?

    Hali kama hii ya hofu inanitokea mara chache kabla hata sijapokea taarifa mbaya . Au jambo baya kutokea na sijui kwa nini sometimes inatokea alafu nisielewe kabisa shida nini na inapotokea naanza kuwaza ni tatizo gani linakuja namwomba Mungu Aniepushie. Sasa leo nilitaka kutoka mida ya saa moja...
  5. Mashaurijr

    Nahisi nimelaaniwa wakuu, kila ninachofanya hakiendi

    Wakuu nimejaribu kupiga hatua kwenye maisha yangu na kuweka mfanyakazi kwenye biashara yangu mara 3 kwenye duka la rejareja na huduma za kifedha m pesa tigo pesa airtel money halopesa lakini kila nikiachaga mfanyakazi wengine wanafanya vizuri mwanzo baada ya muda tu anaharibu na kuleta hasara...
  6. Mashaurijr

    Kuiga biashara ya mwenzio ruksa ila kuwa na adabu usipitilize hasa kina dada

    Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa namna hii. Mpinzani wangu ni mwanamke kabla ya kufungua biashara aliweka ukaribu mkubwa na mimi na...
  7. Mashaurijr

    KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    Juzi niliamua kuingia soko la mitumba Karume kwa mara ya kwanza. Kweli ni sehemu nzuri ya kupata nguo nzuri za mitumba. Ila kuna kero moja isiyovumilika kwa watu tunaopenda ustaarabu. Kila mfanyabiashara ana spika kwahiyo kelele za pale zimekuwa ni kero kubwa sijui wenyewe wanaonaje ila kwangu...
  8. Mashaurijr

    Kama unajiona mrembo sana hujafika makumbusho wewe kama unajiona handsome sana hujafika makumbusho wewe?

    Makumbusho ukikaa masaa 2 lazima shingo ikuume kugeuka geuka kila dakika aisee hiki kutuo kimejaa maua balaa Kama unajiona umetupia umenyooka kinoma ukifika hapa unajiona mshamba tu. Shkamoo makumbusho
  9. Mashaurijr

    Namdai mkurugenzi wa Rorado fast food and service sh. Laki 6 hataki kunilipa nifanyeje?

    Wakuu vijana tunahitaji sana kutoka kimaisha lakini tunafelishwa na watu wachache wenye roho mbaya. Duka la vyakula ni mtihani sana. Huyu mkurugenzi alikuwa anahusika na kupikia shule tatu huku Kibamba. Hakuwa na mtaji wa kumudu zote na huduma nyingine anazo. Akaja tukaingia makubaliano akawa...
  10. Mashaurijr

    Ushawahi kukutana na mtu anakuchangamkia anakujua jina nyumbani ila wewe humkumbuki kabisa

    Leo nimekutana na kijana mmoja kanichangamkia kinoma noma ananijua vyema hadi anaulizia watu wangu wa karibu lakini kila nikijaribu kumkumbuka nafeli Imebidi nijichekeshe tu mpaka sasa sijamjua kabisa na kumuuliza nimeona jau Ishawahi kukukuta . Ulitokaje hapo ?
  11. Mashaurijr

    Msaada: Biashara inanipa changamoto kubwa, natamani niiache nikaajiriwe lakini nani ataniajiri? Nahisi nakaribia kuwa kichaa

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 28 elimu ya form six chuo niliishia mwaka wa 2 kwa sababu ya kuugua baada ya hapo nikajikita zaidi kwenye biashara ambazo ndio zinaharibu akili yangu. Tatizo kubwa linaletwa na upweke nilioishi utotoni. Niliishi na wazazi lakini mama alikuwa mtu wa kuugua na baba...
  12. Mashaurijr

    Mke wangu aliandaa tukio la mwanangu kubakwa na kulawitiwa na mchepuko wake

    Siku hiyo nilikuwa kazini. Mke wangu alibaki nyumbani na mwanangu wa kike wa miaka 11 . Sasa ilipofika muda wa saa 11 mke wangu alitoka na kumwaga mwanangu kuwa anakwenda dukani bila mwanangu kujua kule ndani tayari mchepuko wa mke wangu alikuwa amejificha ndani. Baada ya mke wangu kuondoka...
  13. Mashaurijr

    Buriani rafiki yangu

    kijana mwenye jinsia mbili alipata shida ya kibofu cha mkojo na kufanyiwa surgery Lakini hali yake haikutengamaa bali ndio ikazidi kuwa mbaya sana sana . Sasa jana kanitumia meseji watsap. Kaka asante kwa kuwa rafiki bora zaidi ya rafiki , ndugu zaidi ya ndugu Nilifurahia sana kampani yako...
  14. Mashaurijr

    Nafunga biashara nauza mitungi ya gesi

    Sitaki wale vinyonya damu wanakupa beu ya pipi kisa una shida . Kibamba dar es salaam OFA YA MITUNGI YA GAS USIKOSE EMPTY ORYX KUBWA 37,000 EMPTY MIHAN NDOGO 15000 EMPTY ORYX NDOGO 17000 EMPTY MIHAN KUBWA 33000 EMPTY KUBWA LAKE 32000 Yenye ges o gas ndogo 34000 Yenye GAS ORYX KUBWA...
  15. Mashaurijr

    Serikali ikumbukeni Handeni Tanga, wanaishi binadamu kule

    Licha ya kunywa matope Handeni, Tanga unayapata pia kwa kugombania au foleni Serikali ikumbukeni handeni Tanga, wanaishi binadamu kule Shida ya maji handeni Tanga
  16. Mashaurijr

    Siri ya hatima au kifo

    Kwenye maisha tunaishi tukiwa hatuijui hatima yetu ya maisha itakuwaje. Hili ni fumbo kubwa ambalo Mungu pekee ndiye anajua .Wengine tunaweza kuwa na virusi vya ukimwi , kansa ,vidonda vya tumbo , kisukari au presha tukafikiri ndio hatima yetu ila hatima yetu ikawa sio hiyo labda ni ajali au...
  17. Mashaurijr

    Kukata cheni ya kizazi cha umaskini

    Kama Kikwete kizazi chake kinavyorithishwa kushika nafasi za uongozi wa nchi hivyo hivyo ndio kizazi cha familia nyingi kina ridhishana umaskini. Unavyompondea baba yako na kumwita maskini usisahau watoto wako nao watakuita hivyo hivyo kama hautabadilisha maisha uliyonayo na kujidekeza ukijiita...
  18. Mashaurijr

    CCM imekusudia kuangamiza mji wa Handeni Tanga kwa ukosefu wa maji

    Katika miji mingi hapa nchini sijawahi kuona mji wenye shida ya maji kama Handeni Tanga miaka nenda rudi. Uzuri wa huu mji mdogo uliovizuri sana kibiashara, haufananii kabisa na shida ya maji iliyopo. Ni uzembe wa hali ya juu, na sio uzembe tu ni ukatili wa kutisha unaofanywa na CCM kwa wakazi...
  19. Mashaurijr

    Kwako labana

    Nakuja kwako Mungu, shingoni yamenifika, Naongea kwa uchungu, na machozi kadhalika Wajua moyoni mwangu, hauwezi kufichika Nisaidie Rabana, shingoni yamenifika, Magonjwa yanitikisa, maumivu kadhalika Nisamehe kwa makosa, kweli nimeadhibika Huku usije nitosa, wanafiki wakacheka Nisaidie Rabana...
  20. Mashaurijr

    Buriani waungwana

    Buriani waungwana, limenipata dubwana, Mapema tunaagana, Ningali bado kijana, Maumivu yanibana, kuandika nangangana, Buriani waungwana, limenipata dubwana, Sina wa kumpa lawama, hata Zerea kimwana, Akijua sana vyema, kalizoa Dubwana, Kama na kosa kusema, nisamehe tu Rabana Buriani waungwana ...
Back
Top Bottom