Kuiga biashara ya mwenzio ruksa ila kuwa na adabu usipitilize hasa kina dada

Mashaurijr

JF-Expert Member
Oct 8, 2016
639
1,020
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa namna hii.

Mpinzani wangu ni mwanamke kabla ya kufungua biashara aliweka ukaribu mkubwa na mimi na kufika kwenye biashara yangu kila mara kwaajili ya kupata huduma bila kujua anasoma mchezo .

Kiufupi nakereka sana na watu wa hivi ningekuwa mchawi ningemloga walahi.

Yaani data zangu anatumia kujaribu kuniangamiza nazo.

Bahati yangu sikuchelewa sana nilisoma mchezo wake baada ya kuvuka mipaka ya kutafuta data.
Nilimtukana sana.

Baada ya hapo akafungua biashara nikauwa kabisa ukaribu nae na kumwonya asikanyage kwenye njia zangu . Kuwa anajaribu kunifuata store hapo ndio nikauwa mchezo kwa kuleta noma

Biashara yangu ninavyoendesha naendesha kwa ubunifu binafsi na muundo wake pia ni wangu binafsi.

Sasa kakopi kabisa kabisa mpaka sasa hata bei anatuma watu kuja kupeleleza aisee huyu kiumbe nitafutieni mganga mzuri.

Unapofungua biashara fungua ila sio kwa namna hii aisee

Namwambia tu hawezi kupita njia niliyoitengeneza mimi soon najiupdate abaki na toleo la zamani niwe mpya.
 
Kwenye biashara watu wanamna hii wanakela sana lkn hatuwezi kuwa maliza kwa uchawi ni kuvumilia tu. Kuna jirani yetu ni bingwa wa kuvunja bei akidhani atauza peke yake lakini watu wananyoka nae hvyo hvyo
 
Mimi nadhani katumia madhahifu uliyonayo kwenye shughuli zako na kupitia hayo mapungufu anajizolea point 3. Africans tunafanya biashara kimazoea sana hasa pale unapokuta huna mshindani ktk eneo la biashara.
Hakuna madhaifu zaidi ya kucheza rafu sasa.
Huyu hajui najua rafu zaidi yake
Sasa nipo mbioni kununua eneo iliyopo fremu yake tayari ni jambo la muda tu ataomba po mwenyewe
 
Ilishawahi nitokea hii, miaka ya 2010.
Jirani yangu kibiashara, aliamua kubadili biashara akacopy&kupaste ya kwangu... aliona napiga sana hela mshenzi yule.

Duka lake lilikuwa ni fremu ya pili kutoka kwangu.

Halafu akawa anashawishi wateja wangu wahamie kwake..😂😂
Hata hivyo,ilimchukua mwaka mmoja tu,madeni yalimuandama,duka nalo likafa.
 
Mwaka 2014 Kuna Bwege alinifanyia hizo mambo. Bahati nzuri brother wangu alikuepo Sasa akaamua kuivaa kesi. Ilipigwa kimbola Matata. Mtaalamu aliagiza ubongo wa kuku na wale wadudu wanazurura kwenye maji ya mto yaliyotuama. Dadeki Siku mbili nyingi Jamaa akahama mpaka Sasa sijui alipo. Yaani Kila wiki anahama.
 
Ilishawahi nitokea hii, miaka ya 2010.
Jirani yangu kibiashara,aliamua kubadili biashara akacopy&kupaste ya kwangu..aliona napiga sana hela mshenzi yule.
Duka lake lilikuwa ni fremu ya pili kutoka kwangu.
Halafu akawa anashawishi wateja wangu wahamie kwake..😂😂
Hata hivyo,ilimchukua mwaka mmoja tu,madeni yalimuandama,duka nalo likafa.
wasaKj8I_400x400.jpg
 
mtaan jwetu kuna fremu 2 wafany biashara mmoja wa kgoma mwngn sjui wapi walikua wanatupian makombora tu aisee sku moja wa kigoma akapgwa kombora sjui akspotea kaenda kgoma week haonekan akarudi kakaa week mwenzie kafunga haonekan sku tunamuona anachechemea balaa vp ulipata ajali anasema akupata ajali nkajua ohoooooo vitu vmeitika
 
Ukitaka kuleta monopoly kwenye ulimwengu wa biashara nyakati hizi usiweke tamaa mbele, watu wana taarifa nyingi kuhusu bidhaa wanazohitaji hususani suala la bei. Tazama huyo rafiki yako anakuzidi wapi kisha rekebisha. Wateja wa sikuhizi hatubembelezi muuzaji ilimradi tukijua bidhaa fulani duka fulani inapatikana kwa unafuu tunaenda huko.

Hakuna hati miliki kwenye biashara, ukianza kuuza maji ya chupa usitegemee utauza mwenyewe tu, atatokea mwingine na maji hayo hayo ya chupa ila anaweza ku brand kitofauti na wewe ama hata kwa ujazo ule ule kama wako anaweza punguza bei etc.

Achana na fikira za kichawi, adabu utapatiwa na watoto wako nyumbani
 
Kuna watu wanavunjaa bei balaaa yupo radhi apate 500 ,unakuta mzunguko nawo n mdogo sasa unajiuliza huyu anapata nn hapa
 
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa namna hii.

Mpinzani wangu ni mwanamke kabla ya kufungua biashara aliweka ukaribu mkubwa na mimi na kufika kwenye biashara yangu kila mara kwaajili ya kupata huduma bila kujua anasoma mchezo .

Kiufupi nakereka sana na watu wa hivi ningekuwa mchawi ningemloga walahi.

Yaani data zangu anatumia kujaribu kuniangamiza nazo.

Bahati yangu sikuchelewa sana nilisoma mchezo wake baada ya kuvuka mipaka ya kutafuta data.
Nilimtukana sana.

Baada ya hapo akafungua biashara nikauwa kabisa ukaribu nae na kumwonya asikanyage kwenye njia zangu . Kuwa anajaribu kunifuata store hapo ndio nikauwa mchezo kwa kuleta noma

Biashara yangu ninavyoendesha naendesha kwa ubunifu binafsi na muundo wake pia ni wangu binafsi.

Sasa kakopi kabisa kabisa mpaka sasa hata bei anatuma watu kuja kupeleleza aisee huyu kiumbe nitafutieni mganga mzuri.

Unapofungua biashara fungua ila sio kwa namna hii aisee

Namwambia tu hawezi kupita njia niliyoitengeneza mimi soon najiupdate abaki na toleo la zamani niwe mpya.
Biashara mbuzi hizo kama ingekuwa ni hivyo kariakoo wote wangeuana sana
 
Back
Top Bottom