Ushawahi kukutana na mtu anakuchangamkia anakujua jina nyumbani ila wewe humkumbuki kabisa

Hii ilishawah kunitokea mwamba aliwahi kunichangamkia had nisijue cha kufanya oyah za siku, umeadimika dah aseeh mwanangu karbu tulikaa tukaongea km dk 15 hv sijampata tu bado yan naondok bdo sikumjua huwezi amini ndio mazoea yalianzia hpo mm na yeye na sijawah muulza aliniona wap nahisi ataona ninanata.
 
Mwambie ukweli nimekusahau,muulize mlikutana wapi?🤣🤣🤣🤣🪑💺🎶🎶🎶
 
Leo nimekutana na kijana mmoja kanichangamkia kinoma noma ananijua vyema hadi anaulizia watu wangu wa karibu lakini kila nikijaribu kumkumbuka nafeli

Imebidi nijichekeshe tu mpaka sasa sijamjua kabisa na kumuuliza nimeona jau

Ishawahi kukukuta . Ulitokaje hapo ?
Hivi hii dunia iliyojaa kila aina ya vimbwanga mtu utachangamkiwaje na mtu usiyemjua halafu wewe unakenua meno. Jambo la kwanza nadhani ni kumuuliza amekuwaje huku ukimwangalia kwa u-serious. Ukiona anapiga piga chenga unaondoka.
 
Kuna jamaa nawahi kazini asubuhi nasikia naitwa kugeuka mtu simjui kachangamka kweli mm nikaona huyu ni wale matapeli tu.Nikawa namsikiliza ila kwa dharau kubwa sana.Nikaja kwenda kijijini ebwana nikamkuta kumbe jamaa ni kati ya madogo nilio waacha wakiwa wadogo sana.Sio siri nilijisikia vibaya sana kwa dharau niliyomuonesha siku hiyo.
 
Back
Top Bottom