Search results

  1. K

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Sijajibiwa swali lang
  2. K

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Nina kitu kama uvimbe chini ya ulimi, mwanzo ilianza kama matezi nkafika hospital wakanipima wakasem niuvimbe wakawaida tu wakanipa ant biotic, nlipozitumia nkapona kabisaa Ila ndani ya wiki moja tu tangu nimalize dozi nmeona tatizo lmeanza kurudi tena, kwani uvimbe chini yaulimi unasababishwa...
  3. K

    TACAIDS imesema vijana wa Kike 72 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 huambukizwa UKIMWI kila siku Tanzania

    Mimi cjapima tangu nzaliwe, af cjaumwa ovyo ovyo, niishara Tosha kuwa sina VVU , sipimi ng'oo
  4. K

    Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

    Nchi hii unafkir bila kusifia utawala uta survive sasa
  5. K

    Risasi zinarindima pande za Njiro, Arusha

    Kapige nao selfie af ututumie tulie pande za moromboo tuzipate live
  6. K

    TANZIA: Mbunge wa Babati mjini (CHADEMA) Paulina Gekul afiwa na baba yake mzazi

    Mwenyezi mungu aiweke roho yamarehem sehem stahiki
  7. K

    Mapenzi yanaumiza

    Usifanye maamuz magum hauko pekeako hata mm nmetoka kusalitiwa juzi,, hakiamungu nilijikuta machozi yakintoka tu,, askwambie mtu mapenzi yanatesa ww labda kam hukumpenda ase,,, pole sana ila vumililia tu haupo pekeako
  8. K

    Hijab kwenye shule za kikristo

    Jibu la mtu lisikutosheleze kuamini kuwa huo ndio ukweli,,, kuna mwislam lkn ypo mbali na mafunzo ya dini yake,, so Ku prove ka nikweli Quran ilishushwa kwanza na malaika kabla ya kuandikwa fanya uchunguz huru ,,,,FANYA UCHUNGUZI KU PROVE JE NIKWELI QURAN ILISHUSHWA NA MALAIKA KABLA YA...
  9. K

    Hijab kwenye shule za kikristo

    Kabla ya kucheka na kudharau fanya uchunguzi Ku verify the truth,,,,Quran haikuandikwa as normal books ,, malaika jibril(Gabriel ) alimshushia mtume Mohammad s.a.w akipewa order kutoka kwa Allah ,,,,KUJIRIDHISHA KUHUSU HILO FANYA UCHUNGUZI BINAFSI ,,, hata nuhu aliwaambia watu wake kuhusu mungu...
  10. K

    Hijab kwenye shule za kikristo

    Tunaitumia sana tu,,, ndo maana pale kuna tafsiri ,,, lengo la kutumia lugha zote mbili yaani kiarabu na kiswahili nikuogopa kubadili maana halisi ya maneno yaliyoshushiwa hii dini,,,,quran imeshushwa kwa kiarabu na Allah kupitia jibril kwa kiarabu so,, Quran its pure ,,,not polluted like other...
  11. K

    Kwa mtu aliyekosa mkopo, ni bora Kukaa hostel au kupanga?

    Bora kupanga chumba ,,maana chumba mtaishi zaidi ya mmoja na mahitaj yote ya mda mref unaezafanya booking ,,,, ukanunua vyakula vya mda mrefu ,,mfano mchele sukari etc ,,ukikaa hostel kila kitu nichakununua,,,, NAKUSHAURI KAMA KUNA CHUMBA KARIBU NA CHUO NA KAMA MNARUHUSIWA KUISHI ZAID YA MMOJA...
Back
Top Bottom