TACAIDS imesema vijana wa Kike 72 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 huambukizwa UKIMWI kila siku Tanzania

Aisee, inawezekana, hivi vitoto vidogo ukivigusa tuu vimelowa, kwa haraka haraka kama ningekuwa nao kuanzia october 2017 mpaka sasa ningekuwa nishaua 4 wa first year na second year chuo kikuu, wao wanahofia mimba tuu
 
Kama takwimu za maambukizi ziko hivyo inamaana kuwa hali ya maambukizi mapya baada ya miaka 10 itakuwa 72×365×10=262,800
Guys,take care!!
Chezeni salama!!
 
Mimi cjapima tangu nzaliwe, af cjaumwa ovyo ovyo, niishara Tosha kuwa sina VVU , sipimi ng'oo
Hujawahi kumpeleka mwenzi/mpenzi kliniki alipokuwa mjamzito??Hakuna wakati mbaya kama wakati wa kusubiri majibu na ukikumbuka mechi ulizouza bila soksi.Unatamani kama siku zirudi nyuma ili angalau hata soksi ukumbuke kuiba
 
Back
Top Bottom