TANZIA: Mbunge wa Babati mjini (CHADEMA) Paulina Gekul afiwa na baba yake mzazi

Enenda na tangulia kwa amani mzazi wetu. Hakika tutakufuata...
 
inahuzunisha sana Mungu ampe moyo wa ushujaa kwenye kipindi hiki kigumu
 
Mungu akupe nguvu na wepesi wa kupokea msiba huu mzito na tunamuombea marehemu apumzike kwa amani
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie
 
Back
Top Bottom