UVCCM waanza kampeini ya kumsifu Makonda kukiuka sheria

Wauza unga watatumia media,timu za mpira na bunge au vyama vya siasa lakini hawatakwepa mkono wa Sheria..Makonda alishajiandaa kwa yote na wote
Mkuu, hawa watu wameguswa pabaya, inabidi tu wawe wapole. Walipoitaja ile list of shame walikuwa na kila haki ya kufanya walitakalo.

Leo hii kibao kimewageuka, wanaanza kutapatapa. Wale wote waliokwenda central sio wajinga, haiwezekani Mbowe mmoja tu awe malaika tofauti na wengine.

Lazima nchi ifanane na nyumba. Kila mtu na aifahamu mipaka yake.
 
Mtoa mada mbona unapoteza muda kudanganya uma hauna kazi nini!? Hata kama UVCCM wakipanga hivyo huoni kama nijambo zuri kumbambana na vita hivi povu lako kubwa haliendani nakosa mnalolisema
 
Ucheni kukuza jambo ili Makonda akate tamaa, hivi nani amewambia mawazo yenu nimazuri hakuna MTU aliyekamilika toeni njia nzuri ambazo Makonda zitamsaidi kufanikisha vita hii swala hili sio lakisiasa
 
Wauza unga watatumia media,timu za mpira na bunge au vyama vya siasa lakini hawatakwepa mkono wa Sheria..Makonda alishajiandaa kwa yote na wote
Ingekuwa wauza unga wanakamata kwa matangazo nafikiri duniani asingekuwepo hata mmoja
 
KUNA FAIDA GANI KUANZISHA VITA KABLA HUJAJIPANGA NA HATIMAYE KUSABABISHA MAADUI KUKIMBIA ?
 
UV CCM ni kusanyiko la vijana wenye ubongo hafifu, waoga na wamependa vya burebure
 
Wanataka kupiga dili la kuuza tshirt, ajira ngumu kwa sasa nawaunga mkono mie jamaa wabunifuuuu ndo kujiajiri na kuongezea pato..
 
UVCCM ilikuwa ileeee sio hii ya walee jamaa Kigwangala aliyesema waripoti polisi
 
Back
Top Bottom